Tido muhando na timu yako ya azam tv,munadhihilisha sifa ya mtu mweusi

Oct 21, 2017
57
38
Habari wana jf.twende kwenye mada husika,baada yakuona watu wengi wanafuatilia filam sijui tamthilia ya sultan ktk app yao,wakaona haitoshi bora kuizima azam 2 ktk app.sasa mtu unajiuliza hivi kama haiwalipi hii app kwanini muliiweka? Kuna vi app kibao vinalilia wateja.nyinyi mumepata wateja munaanza kuwapangia watu cha kuangalia.acheni ujinga! Ni bora mngelifunga tv zote ktk app yenu mkasingizia matatizo ya kiufundi. ila kwa kuwa ndio ngozi nyeusi ni nyeusi tu! Ndio hivyo tena picha la mo.yaani mtu mweusi hata awe na elimu vipi ila weusi wake wa roho ya kichawi haachi ng'o!ndio maana utakuta jitu lina elimu yake yakutosha tu!ilamwisho wasiku anaenda kwa mganga kupigiwa tunguli.hao masikini ndio usiseme kutwa kupishana kwa waganga ili wapate fedha, bila kufikilia huyo mganga yeye mwenyewe masikini.ndio haya ya hakina tido unampangia mtu wapi pakwenda kuangalia wakati kotekote anatumia fedha.tena ktk app ndio fedha nyingi zaidi.taarifa ya habari hakuna tv nyingi mumetoa tunakuvumilieni ila nyinyi kuwavumilia wateja wenu hamtaki.acheni uzwazwa kukiwa na mechi ktk app kunazingua sasahivi na sultan nayo? Du!! Kweli tutaona mengi miaka hii hata sultani nayo imekua dili!!!
 
Ukikasirikia hivyo mipango yako lazima ufike mbali mkuu keep it up. Usiwape credit hao ngozi ya nyani
 
Haya maisha kweli tunatofautiana wengine tunawatolea mapovu utumishi watu tunafeli vipi maswali yakawaida, kumbe kunawengine mnawatolea lawama azamu TV sababu ya tamthilia ya sultani?
 
Back
Top Bottom