Tatizo la King'amuzi cha Azam

Tatizo la King'amuzi cha Azam

Lutifya

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
3,015
Reaction score
5,058
Wakuu kuna tatizo gani kwenye King'amuzi cha Azam??. Ukitaka kununua credit inaonekana hakuna Network na ukiwapigia simu hawapokei. What is wrong???
 
Hawa jamaa (Azam) siku zao zinahesabika (Wako ukingoni) Fitina za awamu hii hazitamuacha tajiri yeyote salama.
 
Hawa jamaa (Azam) siku zao zinahesabika (Wako ukingoni) Fitina za awamu hii hazitamuacha tajiri yeyote salama.
Mkuu nadhani kuna tatizo dhahiri ambalo wanapaswa kutujulisha wateja wao. Otherwise ni uhuni at its best....
 
Back
Top Bottom