Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
HADITHI:LUKUNGU(UPANDE WA PILI WA SARAFU) MTUNZI: RAJONCE JOHN MWANDISHI: RAJONCE JOHN WHAT'SAPP:0673049321 UMRI:MIAKA 18+ SEHEMU YA KWANZA. Usiku mmoja wenye upepo zaidi ya siku nyingine za wiki...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k. Naombeni series za nchi...
7 Reactions
176 Replies
4K Views
THE LAST VOYAGE OF THE DEMETER(2023) Chimbuko la hadithi: Ashukuriwe Mungu kwa kutupatia zawadi ya sanaa hapa duniani. Sanaa ni burudani ya muhimu mno katika maisha yetu ya kila siku. Hebu...
3 Reactions
9 Replies
880 Views
Kukuwa kwa tasnia ya bongo move sio jambo lakumtegemea mtu au taasisi ni kutumiya akili tuu. Sasa hivi watu wanaotumika kweny uigizaji ni wale waliokwisha kuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Hii tamthilia inafanya vizuri kwa sasa Ina trend sana YouTube visa vyake ni usaliti,maisha ya ndoa,unafki w marafiki,ulevi,uwongo.. Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.
3 Reactions
12 Replies
988 Views
Tunaendelea tulipoishia ... Baada ya Crew inayoitwa disabled jay Rapers Group kuvunjika baada ya mtu mfupi ( stacha cool) kuzinguana na wezake "jb" mkuu wa majaji na dj snoks a.k.a zungu la unga...
1 Reactions
2 Replies
649 Views
KUTOKA DISABLED JAY RAPERS GROUP HADI KUJIITA " MABAGA FRESH".. Katika ulimwengu ambao mara nyingi huhusisha mafanikio na ukamilifu wa kimwili na kiakili, ni muhimu kufahamu kuwa kuna watu wenye...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Wimbo ulikuwa ukiimbwa hivi- Mwenzenu mie najuta" Nilikuwa na Mpenzi wangu Maprosoo Aliniahidi tutafunga ndoa Yakweli, Namapumziko yetu yangekuwa Mombasa Amanipa ujauzito na sasa...
4 Reactions
3 Replies
7K Views
Teaser Trailer ya series ya House of the Dragon imetoka. Ni Prequel ya Game of thrones. Inaanza tarehe 21 August 2022. Hii series mpya toka HBO ikielezea kiundani chimbuko na historia ya House...
3 Reactions
331 Replies
22K Views
Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu inakuaje, nina amini kila mtu yuko vizuri kiafya au sio wakuu. Sasa leo nawaletea mada muhimu, na yenye kueleweka vizuri kwa kila mtu atakaesoma thread hii. Mada hii inamhusu rapper maarufu...
14 Reactions
264 Replies
19K Views
Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi? 1. Champion Kapangala ( Sebene ) 2...
6 Reactions
141 Replies
15K Views
Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa...
1 Reactions
1 Replies
672 Views
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa...
4 Reactions
20 Replies
958 Views
Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto mwenye nayo naomba usiku huu huuu Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
0 Reactions
3 Replies
399 Views
Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC. Maneno ya wimbo' Jamani ee Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
3 Reactions
13 Replies
708 Views
HOUSE OF GUCCI Ni mwaka 1978 katika jiji la Milan nchini Italia, nchi ya fasheni na mitindo mbalimbali ya mavazi. Palikuwepo familia kubwa, Familia ya Gucci. Ilikuwa familia tajiri,yenye nguvu...
3 Reactions
2 Replies
687 Views
Movie Kali sana 🔥🔥🔥 Ungekua wewe Peter unachagua upande Gani Jini au Wazazi 😉kigongo kikali sana 👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/reel/DIt-YfGtmar/?igsh=cG9lYmtnMjRmcGZl
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Wana jamvi kama inavyosomeka hapo juu nina shida ya huu wimbo wa Kassim Mganga, aliuimbaga kitambo kidogo na nimejaribu kuutafuta katika sites mbali mbali lkn nimeukosa, aliyekuwa nao naomba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…