The Muzikifan "Congo in Kenya" page, with the help of a community of friends and contributors, has grown into a valuable resource for fans of East African music. Therefore I have decided to expand...
Hiz ni movie ambazo naweza zirudia zaid ya mara 20 na nisichoke
1.this is the end
2.soul plane
3.friday zote
4.american pie zote
5.wedding ringer
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ya 1*
Dar es laam saa 1:30am
Tarehe 20/07/2017
Doka Joker au maarufu kwa jina Dj alikuwa anawapa tabu ya kucheza wapenzi wa muziki,mara apige nyimbo za Diamond,haijaisha utasikia wimbo...
SIMULIZI TAMU KUTOKA
https://storikka.blogspot.com/
ZINA SISIMUA NA KUFURAISHA
XXX | NAKUPENDA
Siku moja nilirudi home nikiwa nimechoka sana katika biashara yangu niliyofunguliwa na yule dada...
Habarini wadau,
Kijana mwenzenu nimezichanga nataka kua na mziki wa hadhi nyumbani kwangu. Kwa budget ya 1.5m naombeni mnishauri music system gani itanifaa kwa matumizi ya nyumbani. Ukiongeza...
Jamani kwa wale wapenzi wa muvi kama sisi taja jina la movie, series iliyokukosha vibaya.
....
Kwangu Mimi jamai raja ilinitia wazimu kukesha kama bundi
Ww je?
Habar za kutwa ndugu zangu...
Nilikuwa Naomba kufahamishwa namna au sehemu ambayo naweza kupakua (download) bongo movie... Kwa yyte anaejua Naomba anielekeze
Childish Gambino ameweka historia katika tuzo ya Grammy kwa kushinda nyimbo bora, na rekodi bora ya mwaka kwa kibao chake This Is America.
Ni mara ya kwanza wimbo wa mtindo wa rap umeshinda...
Wakuu Poleni na Majukumu,
Ningependa Kujua Lile Tamasha Kubwa Linalofanyika Katika Fukwe ya Kendwa Huko Visiwani Zanzibar Kwa Mwaka Huu Litafanyika Wakati Upi Nikamate Fursa?
Tafadhali Mwenye...
BREAKING NEWS[emoji95][emoji95]
SOMA SIMULIZI TAMU
KUTOKA https://storikka.blogspot.com/
ZINA SISIMUA NA KUFURAISHA
XXX | NAKUPENDA
Siku moja nilirudi home nikiwa nimechoka sana katika biashara...
Wajameni wafuatiliaji wa hii series tumefika season 3 episode ya 15, Vipi tunadhani Sunny,Bajie,Widow wataweza kumpiga Pilgrim na jeshi lake?,,,alafu kama hii itakuwa season ya mwisho hivi!