Full Moon Beach Party Kendwa Beach Zanzibar

Full Moon Beach Party Kendwa Beach Zanzibar

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
472
Reaction score
424
Wakuu Poleni na Majukumu,

Ningependa Kujua Lile Tamasha Kubwa Linalofanyika Katika Fukwe ya Kendwa Huko Visiwani Zanzibar Kwa Mwaka Huu Litafanyika Wakati Upi Nikamate Fursa?

Tafadhali Mwenye Kujua...
 
Back
Top Bottom