Sura ya Kwanza:
Dar es Salaam ilikuwa ni jiji liliojaa uhai. Kila kona ilikuwa na harufu ya bahari, kelele za magari, na kelele za biashara za mtaa. Mtaa wa Majengo ulikuwa ni jiji ndogo...
Naona Mzungu kaamua kutupoza na machungu, kaamua kuweka option ya 1up, wahini mapema kabla hajatoa hii option....odds zipo mlima sasa tushindwe wenyewe.
Kama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za...
Masanja mmoja ni sawa na Kitenge, Hando na Zembwela. Masanja kaziba pengo mpaka mwanya na kashawafunika, ze comedy show yote kahamishia pale unacheka mwanzo mwisho.
Big up Majizo kwa kuwa...
Unaweza kusikiliza muziki ukiwa offline backup
Pia unaweza kudownload miziki aina yote ukija wewe ni kusikiliza tu bila bando
Na pia kwa wanafunzi wa chuo unaweza kulipia elfu 3500 tu Kila...
Kamwene wakuu. Wale wadau wa simulizi na riwaya napenda niwakaribishe kufuatilia riwaya hii ya kusisimua inayoitwa 'Mkono wa Chuma', mtunzi wake akiwa ni ALEX KILEO. Karibuni wote...
the Legend☆
Niaje wakuu???
Isivyo bahati mimi naenjoy zaidi mziki kwa mafungu kwaio Albums na EPs ndio mambo yangu, kibongo bongo ii ndio listi yangu ya Albums na EPs ninazopenda kuskiliza;
1. MBUZI -...
Hii ni EP yangu Mimi Itakiamo AKA Dj Tamil nimeifanya kwa Artificial intelligence.
Walioimba kwenye hizi nyimbo nitawapa majina ya kufikirika.
List ya nyimbo
1. Kila Saa Dj Tamil ft Reygirl...
SHAMBA LA HELA
Imetungwa na Godlove Kabati.
WhatsApp 0763204351.
SEHEMU YA KWANZA;
FEROOUZ HAIR CUTS
Bukoba, Kagera
Jumamosi, saa kumi jioni.
KITENDO cha kukatika kwa umeme kiliuzika...
Q CHIEF NI CHORUS KILLER WA TAIFA.
kupiga debe kwangu ilikuwa poa,
Fani katika maisha ikaja kuniokoa
Kwa radhi ya wazazi kijijini nikaoa
Mke nilimshusha hadhi kuwa na machangudoa
Mzimuni Family...
Habari zenu wana jamii forum
Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni...
Kuna nyimbo ukiplay in an intimate setting zina amplify the mood mara dufu.
And one of the artists ambae anazipatia sana ni the weeknd.
Na one of the best song ni:
The Weeknd - Wicked Games
SEHEMU YA KWANZA
MTUNZI: The Last Joker
Mwanzo wake haukuwa na kelele nyingi. Saa tano za mchana, jua lilipokua limeyumba pembezoni mwa msitu wa Mtende, kulikuwa na ukimya wa ajabu. Kimya...
Salam wakuu,
Habbari za asubuhi n the starting weekend? Kama ewe ni mpenzi wa black American movies perhaps you might've come across movies which were directed by this marvelous guys Tyler Perry...
Hizi hapa baadhi ya Movie ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, au kama upo na mwenza wako unataka movie
Colour Of Night
The Dreamers
Intimacy
Nymphomaniac
In The Realm Of The Senses
Kiss And...