For MySide Clear Difference between RAP and TRAP
People don't get it
TRAP is more based on Rhymes, how you construct lines for a smoother flow, Style as well you need to have a sound.
E.g...
City Slickers 2 (1994)
Mitch: Don't mess with us! We're from New York.
Duke: If you ever talk to me like that again, I'm gonna turn your balls into earrings.
Mitch: Go for it.
Django Unchained...
Freestyle au michano huru ni kipaji ambacho sio kila msanii ana uwezo nacho.kuna wasanii ni waandishi wazuri tu,lakini hawawezi kupiga freestyle.binafsi napenda sana kusikiliza mtu anaepiga...
Mziki wa Hip hop, Rap na Bongofleva ulianza kunajisiwa around 2004 na kupoteza kabisa ladha ya ubunifu, vionjo, burudani na elimu kwa jamii.
Aidha wapo waimbaji wa enzi hizo na wapo watayarishaji...
wakuu kuna movie moja ni ya mapenzi ilibamba sana 2012 kama sijakosea
movie ni ya hollywood nafikiri.
ni ya mapenzi lakini humo inahusisha zaid mahusiano kati ya binadamu ambaye ni mwanamke...
Habari JF,
Je, ni aina gani ya mziki unapenda kusikiliza na kama kuna sababu naomba tujuzane kupitia thread hii.
Binafsi napenda kusikiliza mziki wa hip hop kutokana na sababu zifuatazo;
-Mziki wa...
Harmonize katoa wimbo mzuri sana aisee...yani daah Inspiration song kalii kuliko kawaidaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Kweli Diamond lazima amuogope japo ni Kinyago...
Huwa naskiliza Sana Radio! Inaweza kutokea for the whole day!! Hasa weekend Coz ndo huwa siwndi kazini!!.. Huwa Sisiki kabisa nyimbo za wasafi zikipigwa! Tuondoe Clouds hyo inajulikana! Vip kuhusu...
Nafahamu jf iko worldwide.
Ninaomba tafsiri ya wimbo huu ulioimbwa kwa lugha ya kinyarwanda.
Wimbo unaitwa Urugero umeimbwa na Butera Knowles.
Here is the attachment: