Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mara unamsikia kijana anaimba “inama nipachike rungu”, mara binti yule nae anaimba “nikikuona nabanwa na haja”, binti huyu nae eti "piga piga piga mpaka ufungulie bomba". Kama uko na wazazi au...
14 Reactions
68 Replies
9K Views
Nimesikiliza na kuangalia kazi yake youtube hakika amefanya kitu kikubwa hasa ujumbe wake,sauti nzuri na mpangilio mzuri wa vyombo (hongera kwa producer) Video kafanya kwetu studios na msafiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa tofauti kati ya album na mixtape
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Special music. For special people. Enjoy.
3 Reactions
5 Replies
979 Views
Mbosso – Maajab Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale uwape mbu faida bwana Hivi aliyekwambia uzime taa humu ndani...
0 Reactions
2 Replies
598 Views
Rest In Peace, Billy Drago. Wahenga wa miaka ya 90's tunamtambua kwa jina 'Carlos'
14 Reactions
90 Replies
9K Views
nimeafungua my channel jana naanza upload vichekesho, nafanya editing before post naomba mkatazame mnipe ushauli nini ni improve https://www.youtube.com/channel/UCN4QnPaEDDrH0Al9UZtYmAw
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Wakuu Habari Ya Uzima, Nina Wazo Moja, Tanzania na Dar es Salaam Hatuna Ukumbi Mkubwa Wa Kufanyia Matamasha Makubwa Hasa Burudani Mbali Mbali Kuchukua Nafasi Ya Leaders Club. . Sasa Wadau wa...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
DJ nguli wa zamani hapa mjini DJ EDIE SALLY ambaye alitamba katika miaka ya 70s na 80s akiwa na marehemu CHOGGY SLY amefariki leo asubuhi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NYEMO CHILONGANI. SHAMBULIO LA DAMU 0718069269. Sehemu ya kwanza. Dunia nzima ilikuwa kimya kwa muda, hakukuwa na mtu aliyeamini kile kilichokuwa kimetokea. Waliokuwa mbali na televisheni...
9 Reactions
79 Replies
15K Views
Hadth zko wap??
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Wakuu tusaidiane kutungs nyimbo yenye jina hilo juu. Ikiwa tayari tutanunua beats za nyimbo ya Diamond " The one" Mie naaanza hivi Wacha waseme , wacha waseme wacha wasemeeee. Wapambe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu kuna movie niliiona miaka ya nyuma kwa kiswahili tulikua tunaiita Jeshi la wafu naomba official name yake wakuu kama kuna anayejua wakuu Ahsante.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE) NA MA-DJ WAKALI!!! Zamani ilikuwa raha sana ambapo jiji la Dsm lilitamalaki disco lililokuwalikianza mchana(Boogie) hadi usiku. Enzi hizo...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
wakuu habari zenu!! "niende moja kwa moja kwenye mada husika je ni kipindi gan bora cha michezo?je ni sport extra ,mshikemshike ,unaweza kuongezea
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabod kwa Mwenye wimbo Wa Nash mc anisaidie unaitwa beti na dirisha dogo LA usajiri
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Leo ni siku ya uhuru wa marekan je kama na ww ni team usa leo tunasherekea uhuru ambao tulio upata kwa nguvu zetu wenyewe kupitia mkuu wa jeshi kipindi icho GEORGE WASHINGTON Je unasherekea ukiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau wa mziki hapa nchini kuna wanamziki wengi vilevile na wasanii kibao ambao ndo wengi zaidi. Kiboko yaoni kundi linaitwa WAMWIDUKA BAND wanamziki wa tanzania wasiojua mziki wakasome kwa hawa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…