Tuambiane! Whats your best love song? Like listening to it. Whether alone or with your love! Maana nyimbo zinahusika sana!
Kwangu mimi, za kizungu
1. My endless love ~Diana Ross & Lionel Richie...
Hekaya Fupi
"Wajemeni," alisema panya, "dunia inazidi kuwa ndogo kila siku. Awali ilikuwa pana mno kiasi kwamba niliweza kukimbia huku na kule na nilifurahia kuona kuta zikiibuka kulia kwangu na...
Hii habari nimeanza kuiona toka jana asubuhi nadhani imeanza kua trend toka juzi.. mm nimefuatilia hili saga ila sielewi..Naona kama three company ambazo ni Sony,Marvel studios na Disney...
Wakuu izi ni baadhi ya movie ambazo binafsi nimezicheki ni Kali na nzuri zipitie na wewe utojutia
------+++++-----
JIG SAW 1-7 katika muvi za kutisha za mauaji izi usipime kama una moyo mwepesi...
Wadau na wapenzi wa hip hop unalipi la kuongea kuhusu mwisho wa mwezi??
Naanza!
Mwisho wa mwezi, ndo baba ukesha bar//kurudi nyumbani hawezi,hadi mama kamkataa//
mwisho wa mwezi niliemkopa...
Mambo vp mdau?
Nakudondoshea uzi huu hapa kwa ajili ya film mpya za mwaka huu wa 2017. Kwa hivyo kama wewe ni mpenzi wa film basi uwe unapitia hapa kila mwezi kuchukua orodha ya film mpya kabisa...
Hii ni listi yangu ya the best musicians vocalists of all the time
Male
1. Wanya Morris (Boys 2 Men)
2. Joe Thomas
3. R. Kelly
Female
1. Mariah Carey
2. Whitney Houston
3. Celine Dion...
Movie ni kazi za sanaa ambazo kwa namna moja ama nyingine zina mchango mkubwa sana katika kubadilisha maisha ya watu. Movie zina mafunzo makubwa sana kwetu. Lakini mbali na funzo tunalolipata...
Habari wana JF,
Leo sijui imekuwaje nimekumbuka sana vitu ambavyo viliniliwaza miaka ya 80 -90+ hivi;
Kabla ya ujio wa Tido muhando na kuibadili RTD, TVT na kuwa TBC taifa,FM na TBC kulikuwa na...
SEHEMU YA KWANZA
“KAMA kweli kuna malipo ya ubaya na uovu basi mimi nililipwa kwa yale ya uovu. Lakini namshukuru sana Mungu kwani alijua dhamira yangu ikafika mahali akakataa hivyo akaamua...