sema hii album ya Timaya ya moto asee kuna ngoma kama
Chulo bothers no body
Something must kill a man
Don dada
Born to win
Na ngoma nyingine kibao afu mshikaj kaimba alone afu zote za Moto
Mi...
Habari wakuu na poleni na majukumu
Nimekua mpenzi sna wa kipindi cha The Story Book cha Wasafi Media
Nilikua nimevutiwa sna na umahiri wa msimuliaji Mtiga Abdallah. Alikifanya kipindi kikapedwa...
Enrique Iglesias__Hero
Enrique Iglesias_Escap
Enrique Iglesias_Somebody Me
Enrique Iglesias__Why Not Me
Enrique Iglesias__Addicted
Enrique Iglesias__Only a Woman
Enrique iglesias Takin back my...
Holla,
The weekend is on the way, days are numbered, like sand through the hour glass, the end of the year is here.
Havana Kasie Matata..
The story behind is....
He takes me to East Atlanta
His...
Hello,
Mnajisahau sana, mkitumiwa ujumbe hamjibu.
Kama hamtaki kusumbuliwa si muweke contacts za meneja wenu, mtu akitaka kuwasiliana na nyie anapitia meneja wenu?
Habari zenu mabaharia wote mliomo humu. Mara nyingi mtu akiita mabaharia jinsia ya kike huwa wanajiweka pembeni sasa sio kwa salamu yangu,mimi nimewalenga nyote.
Sasa niende kwenye kaburi langu...
Kama Bichwa la Habari lisemavyo. Kipindi tajwa hapo juu kina saidia sana kuvumbua aaina ya mahusiano ambayo vijana wanapitia.
Jana nimesikiliza kisa cha dada mmoja alikutana na jamaa ambaye...
Hello guys mambo vp? Poleni na majukumu.
Ipi ngoma kali kati ya hizi mbili.
Enrique Iglesias__Bailando(English Version) VS Luis Fonsi ft Daddy Yanke__Despacito.
UJUE WIMBO WENYE MANENO MENGI HAIJAWAHI TOKEA
👉Msanii Eminem aliimba wimbo unaojulikana kama "Rap God" msanii huyo aliimba wimbo huu wenye dk6 na sekunde 4sec(sawa na 364sec). Lakini kwenye wimbo...
SIMULIZI: THE HOUSE OF DEVIL
(Nyumba ya
kishetani)
Sehemu ya 01
MWANDISHI: METECK DERTHOD
MSIMULIAJI: HUMULI SAMAKI
TYPE: TRUE STORY (Simulizi ya kweli)
UTANGULIZI:
Kama kuna watu hawayajui...
I'm getting nervous right now
I don't know what's wrong with me.
I have tried so many times to find a girlfriend but all of those I meet I feel like I can't
Nimejaribu Ila imeshindikana kila...
KUSHINDA KWA WIMBO WA MASTER KG JERUSALEMA KUNAFUNZO GANI KWA WASANII WETU?
Wimbo huu wa kidini/ Gospel ulioimba kwa lugha ya kizulu yenye wazungumzaji milioni 9 + kwa mujibu wa sensa ya mwaka...
Wadau wa kucheza magame, katika games ambazo nimecheza mpaka mwisho (Max) ni;
1.Freedom Fighters
2.Needs For speed Most wanted
3.IGA
4.Call for Duty
5.Euro truck Simulator
6.Grand Theft Vice City...
ilikuwa siku kama siku nyingine katika maisha ya Bob Marley akiwa katika mizunguko yake. jioni hiyo akitembea taratibu na mara ghafla yake akamwona Sheriff John Brown akiwa anakatiza mtaani na...