Wimbo wenye Maneno mengi zaidi

Wimbo wenye Maneno mengi zaidi

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,413
UJUE WIMBO WENYE MANENO MENGI HAIJAWAHI TOKEA

👉Msanii Eminem aliimba wimbo unaojulikana kama "Rap God" msanii huyo aliimba wimbo huu wenye dk6 na sekunde 4sec(sawa na 364sec). Lakini kwenye wimbo huu alitamka jumla ya maneno 1,560.

👉Hivyo inakadiriwa kua kila 1sec(sekunde moja) alitamka maneno 4.28. Lakini kuna mda wa 15sec alitamka maneno 97 ambayo ni sawa kwa 1sec alitamka maneno 6.46

Hali hii hakuna msanii aliewahi kuifanya kwa kutamka maneno kama hayo kwa mda kama huo. Huyo ndo Eminem.
 
Basi ndio maana hio nyimbo hata nisikilize huku nasoma lyrics huwa sielewi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom