Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Madrassa Vingunguti - Yatima Albayana Nur Fauqa Ya Nour Kiumbe Acha Ubaya Kuna Qasida ilikua inatumika kama Soundtrack (Background) ya Kipindi cha Safina , Radio Sauti ya Quran miaka ya 2009-2010 hivi
0 Reactions
9 Replies
153 Views
Kwenye pita pita zangu mtandaoni, Mjanja M1 nikakutana na post hii kutoka kwa 50 cent akiipigia chapuo Movie aliyoigiza na Mel Gibson. Mjanja M1 nikawasha Smart Tv yangu na kui-play online...
2 Reactions
54 Replies
1K Views
Mimi kama mpenzi wa movie huwa sichagui genre. Naangalia zote kuanzia Action, Romance, Horror, Thriller, Drama za aina zote hadi za High School. Huwa naangalia movie za USA (Hollywood) na za...
4 Reactions
32 Replies
746 Views
Afichaye dhambi zake
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Mpo salama! Huyu jamaa kwa mara ya Kwanza niliangalia picha yake ya Kwanza Miaka ya 2009/2010 huko katika Series Moja iitwayi IRIS. Hapo ndio mwanzo wa kuzipenda na kuanza kufuatilia baadhi ya...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Nilienjoy hii movie. Icheki. Sema zile shaba zilikuwa zinatrigger PTSD.
4 Reactions
1 Replies
211 Views
R. Kelly anachunguzwa na mamlaka za shirikisho baada ya nambari ya simu ya mkuu wa gereza aliyestaafu kupatikana katika daftari lake katika gereza la North Carolina. Mwimbaji huyo wa R&B...
2 Reactions
3 Replies
307 Views
Tafadhali sana: 1. Bad Bakule akiwa na TamTam wimbo unaitwa Chande( kazi hutaki kufanyabkwa vile kaka ana mali.) 2. Mpende akupendaye - TOT plus
2 Reactions
8 Replies
234 Views
ni kawimbo kazuri naomba jina na mtuunzi A
0 Reactions
13 Replies
387 Views
MAKABURI YA WASIO NA HATIA (GRAVES OF THE INNOCENTS)- 1 JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa sasa ni marehemu. Baba...
16 Reactions
314 Replies
97K Views
https://youtu.be/8NYTaQ9iYVw?si=-StgpEreWGppel8v
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Ukiniuliza Vip mambo..?/ Nitakujibu mambo poa/ Ashishi Pafu mbili nashangaa unakohoa/ Mchezo unaocheza tuliucheza zamani/ Usiniulize mimi na nani..? Labda na Kaka ako / Au Uncle Au labda na Baba...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
PROFESSOR JAY. MAGEREZA yanawaka moto Wafungwa ndani ya msoto/ Wanaume wanavyocheza Baba na mama kama watoto/ Ni ukweli usiofichika mfungwa hachagui gereza/ Wote wana haki sawa sio tu...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
If I should die Lord this here is my will Reincarnate a nigga send me right back to the Ville Let me relive my younger days just once again Reenact my memories from every friend to every sin...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1.( MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na...
3 Reactions
4 Replies
326 Views
CHID BENZ FT. NGWEA - WAKATI NDIO HUU VERSE.. 1. "CHID BENZ" Vidole vyangu kwenye mic 🎤 Sauti ndani ya Beat / Niko mbele ya Umati wenye wengi mashabiki/ Me na Amini nimezaliwa kushinda...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics) Kiitikio: ------------ Hii leo Crazy GK Mwanafalsafa AY Weka manyanga chini Hivi sasa tupo hewani Twakupa maneno matamu Na yenye...
1 Reactions
0 Replies
489 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…