Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

11 years ago today, ‘The Hunger Games’ opened in theaters across the United States. The film, based on the book by Suzanne Collins, starred Jennifer Lawrence, Liam Hemsworth and Josh Hutcherson...
1 Reactions
2 Replies
590 Views
Nimeona baadhi ya mashabiki wa timu hizi mbili yaani Simba na Yanga, Simba wana kapu lililoandikwa kapu la magoli pindi unapoangalia mechi zao utaliona na Yanga wana kapu lililoandikwa kapu la...
0 Reactions
4 Replies
526 Views
Mahakama imewakuta na hatia ya mauaji ya daraja la kwanza na wizi wa kutumia silaha, Dedrick Williams, 26; Trayvon Newsom, 24 na Michael Boatwright, 27, baada ya Ushahidi kuthibitisha ushiriki wao...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
If it is a movie, what is the title?
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Kwa wale wanaopenda uniqueness nadhani watakubaliana na mimi kwamba Treach should have a mention in one of the Best out-there to ever walk the earth, his flow is an art in itself.
1 Reactions
6 Replies
740 Views
Nimesikiliza huu wimbo kwa makini ulioimbwa na kundi la Tancut Almas..kweli zamani nyimbo zilikuwa na mafundisho! mama analalamika ni miaka 12 sasa hajamuona mtoto wake amekuwa ombaomba huko...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Unaipa ngapi hii Show?
1 Reactions
10 Replies
486 Views
"Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2" Kiitikio; Kipindi chenu kinawapa pole wote...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari JF. wapenzi wa animation movies itafute hii hautajutia GB zako
12 Reactions
77 Replies
8K Views
Ukweli nilikaa mwaka jana mwishoni na katika kutafakari juu ya jambo husika nikasema niandike wimbo. Sina ujuzi wa uandishi wa nyimbo (rap au kuimba) ila mimi ni mwandishi mzuri tut wa mashairi na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu hii ndo list ya best documentary movie na tv shows za muda wote [emoji419]murdaugh murders :deadly dynasty [emoji419]formula 1:drive to survive [emoji419]murdaugh murders :a southern...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Haya haya mzigo huo upo tayari kazi kwetu tu wandewa.. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
5K Views
MWIGIZAJI Mtanzania Yvonne Cherrie, maarufu kama ‘Monalisa’ ameshinda tuzo ya kimataifa Emmy Kids 2022 katika series ya ‘My Better World Show’ kwa kuingiza sauti kwa lugha ya Kiingereza. Baada ya...
10 Reactions
67 Replies
4K Views
UNAIKUMBUKA SOUNDCRAFTERS? UNAMKUMBUKA BIZMAN KAMA MWIMBAJI? UNAMKUMBUKA BIZMAN KAMA PRODYUZA? UNAMKUMBUKA BIZMAN KWA KITU GANI?? UNAMKUMBUKA ENRICO KWA VINANDA AU KWA KITU GANI?? Nakumbuka...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za zenu Wana Jf Throw back Tuesday Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara Siku moja...
1 Reactions
2 Replies
955 Views
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua...
2 Reactions
8 Replies
892 Views
Turudi kwenye Old School Hip hop. Hivi ni Collabo gani ya HIP HOP haikuwahi kufanyika hadi leo unasema, Kama ingefanyika basi ingekuwa hatari sana. Naanza Mimi, Collabo ambazo nilitamani...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music. Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema...
3 Reactions
0 Replies
580 Views
= = Kudadadeki Lyrics By Nay Wa Mitego Below: Heeeh whatsap ma people Its me again baba yaga I'm on it Leo sitaki kuimba nataka nichane Na mizuka ikinipanda mniruhusu nitukane F**k...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…