Jejee Lutandila unatafutwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jejee Lutandila unatafutwa!

Discussion in 'Entertainment' started by Jidu, Jul 4, 2012.

 1. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Nimesikiliza huu wimbo kwa makini ulioimbwa na kundi la Tancut Almas..kweli zamani nyimbo zilikuwa na mafundisho!

  mama analalamika ni miaka 12 sasa hajamuona mtoto wake amekuwa ombaomba huko kijijini kama hana watoto!
   
 2. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Gonga hapa chini utaupata na kuusikiliza....Pia utasikiliza nyimbo nyingine za Tancut za Mama na Wifi...

  Wanamuziki wa Tanzania - ReverbNation
   
Loading...