Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,495
- 20,283
Unaipa ngapi hii Show?
Mkuu Dave Chapel unamwonaje... Mimi ndiye comedian nnayemkubali akifuatiwa na Bill Burr.Unaipa ngapi hii Show?
![]()
Kwa nini hujapenda mkuu?Ameupiga mwingi, sijapenda part ya jokes kwa Will Smith.
Mi nimeipenda. Haiwezekani azingue halafu akaliwe kimya. Piayule mwanamke siyo kabisa.Ameupiga mwingi, sijapenda part ya jokes kwa Will Smith.
Kevin Hart hapana. Ila Gabriel yuko poa sana.Gabriel Iglesias
Trevor Noah
Kelvin Hart
Dave Chappele
Eddie Murphy
Jerry Seifelf
Eddie Griffin
Inawezekana hujaona stand up za Kevin Hart labda unamuona kwenye movie. He is great. .Kevin Hart hapana. Ila Gabriel yuko poa sana.