1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya.
Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu...
Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio
Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
1. Kraven the Hunter
2. Deadpool 3
3. Gladiator 2
4. The Lord of the Rings: The War of the Rohirrim
5. Godzilla x Kong: The New Empire
6. Dune: Part Two
7. Madame Web
8.Joker: Folie à Deux
9...
Rejea kichwa hii thread itazungumzia vituko(kasoro za uigizaji) vinavyopatikana katika filamu za kibongo ili kuweza kutambua makosa yao na kuboresha zaidi. Ukiweka na picha itapendeza zaid na...
Salaam wakuu, thread hii tutakuwa tunapeana updates zote zinazohusu Reggae Music. Reggae shows zinazofanyika jirani na maeneo yetu, requests za nyimbo mbalimbali za Reggae, riddims, dj mix nk...
What is wrong with us that we love to freak ourselves out by watching scary movies? On this list of the best horror movies of all time there are some truly shiver-inducing films that are capable...
Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani.
Kwahiyo...
Binafsi napenda sana filamu za Gerald Butler sababu story zake huwa ni logical, lakini hii ya London has fallen, mantiki ya story yake nina mashaka nayo.
Kwa mlioitazama filamu hii, kwa level ya...
"Nina miaka 25 nipo Kigoma. Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwezi wa tisa mwaka 2016 kipindi hicho yeye alikua mwanafunzi so sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala...
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao.
Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa...
Salam wakuu,
Straight to the point, Stamina Shorobwenzi ametoa ngoma mpya inayoitwa Underrated ambapo humo amewashirikisha Motra The Future, Maarifa, Boshoo ze Son, Dizasta Vina ( The Black...
Baada ya kutokea kwa mauaji ya watu kadhaa, polisi wanafika eneo la tukio kwa lengo la kufanya uchunguzi.
Katika eneo hilo wanakutana na miili isiyopungua mitatu, yote imelala mfu, wanaikagua na...
zifuatazo ni movie 4 nzuri ambazo unaweza zicheki wiki hii ukiwa umepimzika.
Kwenye orodha zipo 4, ila Angalia angalau 3.
WIKI YA KWANZA
SAVING PRIVATE RYAN
waigizaji: Tom Hanks, Matt Damon, Vin...
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka...
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.