Na laani mtindo huu watu wanao fahamika fahamika hapa bongo kubuni vitu ambavyo wakati mwingine ni vya kijinga kwa lengo la kujiongezea umaarufu.
Uvumi ya kwamba clouds fm imewatimua vijana...
Bila shaka msanii huyu anayetamba sahizi kwa nyimbo yake mpya ya My Number One remix ni staa wa kulengwa kwa manati.
Diamond Platinumz kwa sasa yupo na anazidi kuendelea kuwepo kila uchao. Staa...
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya Masogange aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa...
Uamuzi wa kuwasimamisha b12,Adam Mchomvu na Diva sio wa busara kibiashara.
Kipindi cha xxl kimekuwa na wapenzi wengi sana kutokana na chemistry nzuri ya mchomvu na b12. Hawa jamaa wanajua sana na...
Wakumbuka ile skendo iliyomkumba Nisha kuwa anaugua baada ya kuavya mimba? Sasa amejitokeza wazi baada kuwa kimya kwa muda mrefu kuhusu hili jambo.
Nisha aka Salma Jabu amefunguka akidai kuwa...
Habari zenu wana CF!
Nimeona si vibaya tuone leo list ya wasanii bora wa filamu na sanaa za maigizo katika bara letu la africa kwa ujumla.
list hii ni kwa mujibu wa konnectafrica.com na kwa...
Leo nilikuwa nacheki movie mpya ya JB inaitwa DANIJA, movie imechezwa na JB mwenyew,Adam kuambiana,Gabo na muhusika mkuu wa hiyo movie anitwa DIANA KIMARO, dah huyu demu ki ukweli yupo vizuri...
Miraji Kikwete na Aima Mahmoud wakiondoka kwenye ukumbi wa Mlimani City baada ya kufunga ndoa yao jana. Picha na Florence Majani
Kwa ufupi
Sherehe hizo zilianza saa 7:00 mchana baada ya ndoa...
MREMBO aliyengara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan Hamisa Mabeto ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini Prezzo, Huddah Menroe kwenye...
Kimkardashian na beyonce wamekuwa marafiki kupitia waume zao, kanye west na jay Z,ila inavyoonekana urafiki wao sio wa kivile baada ya Beyonce kugoma kuwa matron wa ndoa yao inayotarajiwa...
Nimeangalia kipindi cha mboni show siku ya leo jmos tar 18.1.14 hakika kilikuwa kizuri na nimekipenda wageni waaliku walijitahidi kuzungumzia mengi sana.Waalikwa ni George Masatu Dua Saidi...
Baada ya kusikiliza album kadhaa, kuanzia ya Jay z Magna carter holy grail, Kanye west Yeezus, Kendrik lamar, na nyingine nyingi zilizotoka 2013 NA 2012. nimebaki sina cha kufanya isipokuwa...
Heshima mbele,
Wadau wiki liyopita huyu "mtoto mkubwa wa pili wa kiume" wa JK kaweka picha mbili za viongozi wabunge na mawaziri,Wassira na Komba katika ukurasa wake wa Facebook wakiwa wamelala...
Bongo Voice: JE UNAFAHAMU JB (Bonge la bwana) KATOKA WAPI??, ALIKUWA ANAFANYA NINI..?? SOMA HISTORIA YA MAISHA YAKE TANGU ALIVYOKUWA MPAKA ALIVYO SASA.
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyanganywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film...
Rihanna msanii anayejulikana ulimwengu mzima kwa sauti ya kutoa nyoka pangoni wakati huu ameamua kupiga picha na gazeti la Vogue.
Upigaji huu wa picha la gazeti hilo ulifanyika nchini Brazil...