Wacheza filamu bora afrika wanaoshika nafasi za juu ni hawa kwa sasa..!!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,933
2,000
Habari zenu wana CF!

Nimeona si vibaya tuone leo list ya wasanii bora wa filamu na sanaa za maigizo katika bara letu la africa kwa ujumla.

list hii ni kwa mujibu wa konnectafrica.com na kwa jinsi mtiririko unavyoenda, mmh! afrika mashariki tutasubiri saaana

kuingia humu! mataifa yaliyoshika kidedea ni Nigeria na Ghana tu!

list yenyewe hii hapa!

1.
Majid Michael is a Ghanaian actor. He received a nomination for Best Actor in a Leading Role at the African Movie Academy Awards in 2009. In 2012 he won the African Movie Academy Award for Best Actor in a Leading Role for the movie, ‘Somewhere in Africa'.2. Nigerian Omotola Jalade Ekeinde is an Actress and Singer. Her blockbuster movies include ‘Ties That Bind', ‘Amina' ‘Games Men Play' ‘Last Flight out of Abuja' and her breakout movie, ‘Mortal Inheritance.' Omotola was honoured as the First Ever African BEFFTA Film Icon for her contribution to the film industry in Africa, Europe and globally.3. David Oyelowo
is a Nigerian Actor best known for his role in the Last King of Scotland and also the popular TV show, The No 1 Ladies Detective Agency.


4. Joseph Van Vicker
, better known as Van Vicker, is a Ghanaian actor. He received two nominations for Best Actor in a Leading Role and Best Upcoming Actor at the African Movie Academy Awards in 2008.5. Mercy Johnson Ozioma
, popularly known as Mercy Johnson, is a Nigerian actress who made her acting debut in the movie, "The Maid" in which she played the role of a possessed house help.6.Hakeem Kae-Kazim
is a Nigerian-born, English-raised South African actor now living in Los Angeles, California, who is best known for his role as warlord and terrorist Colonel Ike Dubaku on the television movie 24: Redemption (2008) and Season 7 of the action series 24, in 2009. He starred in the box office hit, "Last flight to Abuja" alongside Omotola Jalade Ekeinde. He was nominated at the AMAA Awards in 2012 for best actor, for the movie, ‘Man on Ground.'


7. Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha
is a Nigerian Actress. In 2012 she won the African Movie Academy Award for Best Actress in a Leading Role for the movie, ‘Shattered'.

soon nakupa list ya pili..!
 

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,112
2,000
namba 6... colonel ike dubaku namkubali sana... anajua sana kuigiza... real african soldier hasa kwenye redemption.
 

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
36,740
2,000
Yap mkuu. Nasikia anaishi state huko huko japo ni mnigeria. Jamaa wanatumia nafasi zao vyema kwa kweli!
sana tu, kama sisi kwetu vijana wakitokelezea kwenye wimbo mmoja uchi anakuwa maarufu kisha anahamia kwenye upunda....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom