Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

DaJane

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
223
623
Da Dida hujambo bibie?

Za masiku mingi, naona siku hizi mashallah wazidi kuwa 'mzungu-pori'....nisalimie mwanao Samira.

Dada Dida, najua unanikumbuka, unamjua dada mmoja anaitwa Zanelle Ladies wear ana duka lake la nguo pale Studio?...kila siku huwa tunakutana pale, na kuna siku ulinikuta na ukaniambia, "yaani we dada kila nikija tunaonana, nahisi nyota zetu zinafanana" ulikuwa umevaa top na miniskirt ya njano na raba za bluu bahari nami nilikuwa nimevaa baibui la pink....asa yule ndio mimi....naam, usijisahaulishe na ufupi wako kama gogo la buchani.

Dida wewe sio wa kumfanyia Aisha vile, kwanza unamjua Aisha ni nani?
Aisha ni mke wa kwanza wa Issa, Issa mwanamme wako aliyekuvalisha pete ya uchumba feki na mpambe wako mkuu alikuwa kizuka Sauda Mwilima a.k.a mwanaukome.

Mtoto kajichubua lakini sijui kama makalio na vimbwisa vya miguu na mikono vimetakata. Nasema pete feki kwa maana hakuna hata ndugu yako mmoja aliyehudhulia zaidi ya wauza mikorogo wenzako, chezea mzodeo wewe!!!!.......mxiyuuuuuuuu!!! Halafu hiyo tabia yako ya kusagana na mtoto wa mjomba wako ukome, ndio, a.k.a wardabbygirl, kwa u-baby gani kwanza aliokuwa nao,mtu amekomaa kama jiwe la kusugulia gaga la mkoma.

We na wardabbygir si mjomba na shangazi nyie....kweli dunia imevaa msuli.
Umefumwa mara 3 unam-tamtam wardabbygir, halafu ukatumia nguvu nyingi kukataa, (na ndio maana safari za Morogoro kwa wardabbygir haziishi)
Ila nawe wardabbygir subiri fangasi za koo na ulimi, maana sipati picha na mkorogo ule unavyounyonya......ndio maana lips zimechanika kwa kulamba mikorogo ya chini kwa dida.

Huko 87.9 Planet FM Morogoro hata sioni unachofanya, ukaona ndugu yako dida anavyochamba watu katika kipindi chake nawe ukajua utaweza, mxiyuuu...wapiii, kila uturi na fushole bibi weee! Kwanza ngoja nikuweke kiporo maana leo sipo na wewe. Mdomo koma!

Haya Dida narudi kwako, hivi mwenzetu umekoshewa jimbo gani?
Nyakanga na mwali wako alikuwa nani wakati unaingia ukubwani?
Sio Bi. Hindu kweli mtu mzima kisheti mwenzio?
Maana kila unapoingia, nafasi zimejaa.

Haya kisa cha kwenda kumpora Aisha mumewe ni nini? Hujiamini kwani?
Mwanamke kujiamini bibi weeeee. Haya umemuiba, muweke hadharani tumuone, hutaki, Mwenzio Wolper kanyakua bwana tena mume wa mtu, na kesho yake insta wote tukamuona. Mpaka leo....huyooooo, Mcongo anachezea tu ziwa la Jacline. Amfiche kwani ana sura mbaya kama wewe?

Lakini wewe sasa, mara leo kawekwa pua...na mpua wake ulivyo mpana kama uwanja wa gymkhana, maana hata ukimuweka kwapani bado mpua unachungulia nje, mara leo kawekwa mkono, kesho kipapatio, keshokutwa kimbwisa cha kichwa....na mbichwa wake ulivyo m-bato kama kiberenge cha Tazara.

Aisha wa watu analia usiku na mchana, Siku ya kwanza kumrusha Issa instagram, mkewe kwa mshtuko alioupata....mimba yake ilitoka. Hivi we Dida ukiambiwa mchawi utakataa? Umemficha weeeeee.....kumbe tunakulia timing tu. Haya sasa, kiko wapi?

Na kwa taarifa yako Issa kaongeza mwanamke wa pili anaitwa Vicky, upo nyonyo..?, na wanalea mtoto wa kike. Labda umuwahi kabla hajamuoa.....tena kwa ndoa ya kikristo. Na utapangwa kama foleni ya madumu.

Ndoa yako aliyokuandikia Mungu ilikuwa na Juma Mchopanga tu...akina Gervas, sijui Ezden hao walikuwa wanataka kujua kama mkorogo wako uko mpaka Ikulu au la!!!....walikuwa si type yako. Msichana mdogo lakini umekomaa kwa kuvamia masusu kwa mambo yasokuhusu.

Nasikia na sasa hivi unavaa makalio ya bandia ili utunishe msambwanda, heheeeeeeee.....halooooooo. Makalio majaaliwa bibi weee..Kama huna, huna tu. Makalio yenyewe kama kipande cha sabuni ya jamaa.

Kwanza unajua kazi ya bwana ako Issa Au kuturusha roho tu? Issa kaacha ofisi yake ya mtaa Bagamoyo kazi kuzurura na wewe tu. Kutoka Arusha mpaka kuwa mwenyekiti wa mtaa Bagamoyo. Wanakijiji wanamtafuta mwenyekiti wao, wewe umemfungia kwapani kwako. Mtoe aende kwao Bagamoyo ofisini. Ila wote mmekutana, mwanga na mchawi. Issa wa Arusha to Bagamoyo. Wewe wa Tanga, humrogi mtu....daadeki..Kama mbwai na iwe mbwai tu.

Issa maskini kijana wa watu...akiwa na wewe haongei wala hakohoi. Nasikia ukitoka nje unamfungia ndani, mkiwa kwenye gari unapandisha vioo..Nyooo, shusha vioo tumuone, We si bingwa wa unyakuzi!?. Na kwa taarifa yako Issa mzee wa ku-cropiwa tushapata picha yake. We endelea kum-crop ila tunamjua ukoko to matandu.

Dida...unajua unazeeka kabla ya wakati? Na dua mbaya anazokuombea Isha wallah ipo siku utakutwa umekauka Times fm kama mti wa kuni. Issa hakumpa talaka Isha, wewe kwa kuwa unatumia vipesa vyako vya kuuza **, ukamrubuni kijana wa watu kaingia kwenye 18 zako na gari ukampa.....shkamoo dudu.

Na wewe Issa, mchaga gani anapenda kitonga namna hiyo? Wachaga watafutaji sana,kama vipi piga hata kabali. Siku yakikuchachia utajua kwanini nyoka hana kiuno. Nenda kamuulize Peter alichofanyiwa na Munalove, Peter analazwa chini, Muna analala kitandani na Kalala jr wakati kitanda kanunua Peter. Sasa wewe jifanye kidume. Na ungekuwa mwanaume rijali na shababi usingekubali ku-cropiwa. Pengine huko uliko hata vidole unachezea....mxyiuuuuuuu.

Kwani kwa Aisha ulikuwa huli? Ulikuwa uhemi? Ulikuwa hushibi? Na kama umempendea weupe Dida, nawe ungemnunulia mkorogo mkeo, japo mkeo ana weupe wa asili kachanganya na kamkorogo (ila si kama wa Dida)Au kama umefata vitako kwa Dida, ungemnunulia kigodoro chake mkeo, ukamshonea na akakivaa afanane na Dida. Kwanza sioni hata cha maana unachovalishwa na Dida zaidi ya vishati hivo 2, chekundu na cheupe na raba ya buku-jero Karume.

Haya, nasikia ndoa inanukia, na sharti la kwanza ulilopewa ni kuwa ndoa shurti ifungiwe ukweni. Na ukweni kwa kina Issa nyumba haieleweki, choo cha kulenga. Ukapewa amri ya kukarabati nyumba yao ili ufunge ndoa.
Nasikia nyumba inakarabatiwa fastaaaaa......chezea mume wewe, (mume mwenyewe awe sealed basi, wake 2......mxiyuuuuuuuu, ungempata mume bikra si ungejenga ghorofa uwani kwao, tupishe sieeeeee!!!!!) Umevunja ya udongo....umeweka ya matofali, (Issa hakikisha jina la hati ya kiwanja na nyumba habadilishi, hakawii kubadilika huyo)

Kwanza wewe Issa, hujakaa na kina Ezden kupiga nao story...hawana hamu na Dida. Dida anakuvua nguo mchana kweupeeeeee mbuzi anakula majani, msikie hivohivo redioni. Muulize Gervas Mbwiga, anamjua vilivyo.
Kwanza nampa hongera Tecla Benedict kwa kumtoa Gervas kwa Dida, angemkomaza tu mtoto wa watu.


Udamwbwi udamwbwi wako unamrithisha mpaka mwanao Samira. Kutwa kumuanika maungo yake. Na Mungu amnusuru asiijue mikorogo. Na nasikia kwenye cheti na shuleni anatumia Samira Khalidi. Kwani Khalidi ndo baba mtoto? Mtoto sio wa Juma huyo kweli? Kweli dunia imevaa bukta ya Man U.

Da Dida, picha zako za zamani ukijilinganisha na sasa unaona utofauti?
Mshukuru Juma Mchopanga....alikutoa kwenye unyani, maana ulikuwa mbaya Dida,( Mungu anisamehe maana naendelea kuzaa mie)....ukaona hataaaa, ukaanza kujichuna ngozi. Wenzako uliokuwa nao gym pale Genesis Kijitonyama wanasema Dida ulikuwa unatoa harufu ya kuungua na mkorogo.
Hebu tulia wewe. Mwenzako Sauda Mwilima kapoteza mtoto kwa mikorogo yake. Au ndo mana wewe hutaki kubeba mimba? Beba mimba, utazaa kwa kisu, si unataka mwenyewe kuwa 'mzungu'? kwan sh ngap!!!

Halafu Dida hiyo tabia unayoifanya sio nzuri. Ndio nini kutembea na Mzee Yusuph? Isha Mashauzi kalala nae, wewe nawe walala nae. Waoneeni huruma Leila na Chiku. Wao ndio wanamfulia na kumyooshea nguo pasi baba wa watu.

Halafu unajikuta tu unasema watoto wa wenzako kuwa wabaya...we Dida wewe shukuru huo weupe wako wa dukani ukiongezea na filter ya camera 360 kama Munalove, mnajikuta akina Beyonce wenyewe. Na ulivyojaa sura kama airbag ya gari. Na ole wako siku ya kuachana na Issa umnyang'anye hiyo gari uliyomnunulia, wana wa Bagamoyo watahamisha nyeti zako kuhamia usoni....gari la kijiji hilo.


Mie yangu nimemaliza, Nawe sijakuchamba saaana maana naogopa usije ukaacha kunialika kwenye pilau lako la harusi bureeeee. Afu Dida hebu mzalie Issa bhana. Gervas hukumzalia, Ezden ulitoa mimba yake...pia hukumzalia. Hebu Issa mzalie jamani. Samira atacheza na nani? Au ndo unataka acheze na midoli yako pale kwenye kona sebleni kwako? Afu wewe, kwa mshahara gani wa Times FM wa kukupa jeuri mjini? Yaani siku Kinje akifa, mtalia sana nyie....nawahesabia siku zenu.

Kwaheri, Ngoja nifungulie 100.5 niskize micharazo yako na Bi. Hindu.
Na ole wako unichambe. Nakufungia safari toka huku kwa Manjunju hadi kwako Mbezi beach, Utajutraaaaa maana nakuja na kundi zima la Biginchali...sasa jaribu uone mziki wake.

Screenshot_2016-04-09-22-32-46-1.png

Dida na mtoto wa mjomba wake, Warda.

Screenshot_2016-04-09-20-42-40-1.png

Bwana Issa kawekwa kwapani lakini bado mpua unachungulia

Screenshot_2016-04-09-22-01-40-1.png

Mchaga wa kishimundu mwenyewe anajua kumechishwa na Dida. We ngoja ipo siku.

Screenshot_2016-04-09-22-23-50-1.png

Wahudhuriaji siku anavalishwa pete.
Zaidi ya Warda mtoto wa mjomba ake, hakuna ndugu yake mwingine akiyekuja.

Screenshot_2016-04-09-22-24-58-1.png

Pete ya kujivalisha hiyooo.
Paka urimbo wanase wewe.
kwa mbaliiiii......D & I

Screenshot_2016-04-10-09-59-00-1.png

Issa, mzee wa ku-cropiwa, sijui mchaga wa wapi wewe.

Screenshot_2016-04-10-09-58-52-1.png

Hapa Issa akiwa na mkewe Aisha.
Na kwa taarifa yako Aisha ameshaolewa Tanga....muone

Screenshot_2016-04-10-10-01-38-1.png

Vicky, aliyezaa na Isaa mtoto wa kike.
Dida, kamuue na mtoto wa Vicy basi.

Nifah, Dinazarde, warumi, brenda18, lady in red10, BADILI TABIA, christine ibrahim, smileagain, angelita, andaeni maji ya kupozea ubuyu....maana si kwa kuchubuka ulimi huko.
Screenshot_2016-04-09-20-49-25-1.png
Screenshot_2016-04-09-22-24-41-1.png
Screenshot_2016-04-09-20-49-58-1.png
 
Back
Top Bottom