Tofauti na akina Johari,Ray,marehemu Kanumba (RIP), Cathy,Mainda na wengine kibao ambao waliingia kwenye fani ya uigizaji kwa mapenzi yao, hali hiyo ipo tofauti kwa baadhi ya mastaa ambao wapo...
jamani hizi ni tetesi ..kuna madon yapo tayari kutumia mipesa yao kibao ili haka katoto kasiende kuwa chakura ya askari magereza
Kuna wakili toka sauzi anakuja kuweka ishu sawa....
Ndugu zangu,
Jana amemezikwa Steven Kanumba , kipenzi cha wengi.
Mauti ya Steven Kanumba yanatukumbusha wanadamu ukweli huu; kuwa maisha yetu hapa duniani ni mafupi sana. Hivyo, lililo...
Jason Derulo
Jason Derulo does up to 400 push-ups a day.
Jason Derulo does up to 400 push-ups a day and admits dancing during his world tour is also hard work.
The 24-year-old star, who...
Kanye West wants Mary J. Blige to perform her 1997 hit 'Everything' at his wedding to Kim Kardashian
Mary J. Blige
Kanye West wants Mary J. Blige to sing at his wedding to Kim Kardashian...
Masanja Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa Tanzania waliofanikiwa kimaisha, amesema Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea usafiri huu kwangu...
Ni msanii ambaye anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura...
Audio: Jay Z amtaja Lupita Nyong'o kwenye verse yake "Im on my Lupita Nyong'o..."
Lupita Nyongo, muigizaji wa kike toka Kenya anaendelea kungaa na kuwa mada ya kuzungumziwa hata na watu...
ILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond liko sokoni linapigwa bei.
Diamond akiwa ndani ya Toyota Land Cruiser V8...
P. Diddy wants to be known as Puff Daddy again and claims he has "always" used his original stage moniker.
P. Diddy
P. Diddy wants to be known as Puff Daddy again.
The rap mogul - real...
Vyombo vyake vya habari kwa miaka 20 vimetoa wana habaro ambao karibia wote leo ni watu wenye hali nzuri kimaisha
Kuna wengine wameshatangulia mbele za haki RIP lakini wameondoka kwa heshima...
Inasemekana ule mjengo wa kijitonyama aliokuwa akiishi super star wema sepetu ilikuwa siyo ya kupangisha kama inavyojulikana, Bali mjengo ule ni mali halali ya bwana clement , ambayo alinunua kwa...
Duh wewe jux sio mtu mzuri, ndio nini kutupa presha kipindi kile?, ukajifanya wewe ndo Jackie ukaingia kwenye account ya instagram ya jack na kujifanya jack ukapost utumbo unaoujua wewe, au ndo...
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD masogange naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao huohuo wa instagram...
Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho Maya
amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona
mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto
kwani wote...
Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa...