Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

LULU NA DIANA Msanii wa bongo movie Diana Kimaria ameibuka na kukanusha vikali kuwa kamwe hawezi kuliwa uloda na mwanaume aliyempitia rafiki yake Lulu Michael kwa sababu kwani wao ni zaidi...
0 Reactions
45 Replies
28K Views
MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Dah mlokole mainda unatia aibu bana , hata kama umeachwa stress haziondolewi kihivyo. Nasikia waumini wanalalamika wa apo apo kanisani kwenu Sinza , yaani full kujipendekeza kwa wanaume hadi...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Lalasheee! Habari za kusikitisha nimezisoma kwa yule Nanhii wa Tegeta kuwa yule Will Smith wa wetu enzi zile 1990-2000 Bw.Franco Mtui amepooza mwili wake mzima alipopata ajali ya "kuangukia...
0 Reactions
132 Replies
28K Views
Duh hiki kitendo cha wema sepetu kwenda kufanya timbwili pale ofisi za Global publisher, kimestaajabisha sana kama sio kushangaza, binafsi nimejiuliza maswali mengi yakiwemo haya. 1. Wema na...
2 Reactions
163 Replies
20K Views
HIKI NDO ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSANA NA TUKIO HILO Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA kwa,mafanikio...
0 Reactions
55 Replies
16K Views
Kwa wale wanaowafahamu vizuri jackline wolper na bibie penny , watakuwa wamenisoma vizuri nini kiliendelea baadae. Kama huelewi pita ivii:banghead::banghead: Ni kweli kabisa wolper, kila mtu...
0 Reactions
126 Replies
22K Views
Their beautiful March traditional wedding may have come and gone but here are the equally beautiful photos from their pre wedding photoshoot you haven't seen yet.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu ni queen video maarufu sana hapa Bongo na amekuwa akihusishwa naskendo mabalimbali. zikizidi kumpa umaarufu wa kutisha. Hivi karibuni Agness masognge amesepa zake kwena South akiwaacha watu...
1 Reactions
51 Replies
17K Views
Bongo Flava rapper Ambwene Yessayah, popularly known as AY, is in Nairobi with his entire Mkasi TV crew. Mkasi is a weekly TV entertainment programme that is aired on EATV and is co-owned by AY...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Gwiji la muziki wa mahadhi ya pwani Juma Bhalo kafariki jana baada ya kuugua muda mrefu maradhi ya moyo Marehemu alikuwa ni mwenyeji wa Mombasa nchini Kenya na alitikisa vilivyo kwenye mziki wa...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Diamond Platnumz - Wikipedia, the free encyclopedia Wema Sepetu - Wikipedia, the free encyclopedia snipa
0 Reactions
26 Replies
22K Views
Posted by GLOBAL on April 5, 2014 at 5:57am View Blog Stori: Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude' amekiri kubebeshwa madawa ya kulevya bila kujua na kujikuta...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
. Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan 'Tundaman' akiwapagawisha mashabiki katika Kanumba Day Snura Mushi 'Mamaa Majanga' akifanya yake stejini usiku huu ndani ya Dar Live...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Masanii wa filamu, Kajala Masanja amedai kuumizwa na watu wanaojiita ‘Team Wema’ kwa kumzushia kuwa anatembea na mume wa zamani wa rafiki yake, Wema Sepetu na kudai kuwa anatarajia kumtafuta...
1 Reactions
12 Replies
11K Views
Lakini kumekuwepo baadhi ya wasanii ambao wakati mwingine hutengeneza mazingira ya uongo hasa kupitia mitandao ya kijamii, na wengine hata kufanya na Interviews ili tu kufanya watu waamini kuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jina la Diamond Platinumz mtoto wa Tandale mwenye historia ya kuishi maisha ya ukata, sasa hivi ni moja kati ya majina makubwa kimuziki barani Afrika huku akishiriki kwenye project kubwa kama...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
When your are talking about the super stars artist of Tanzania, basi kiukweli hutaacha kumtaja wema sepetu na diamond the platnumz, kiukweli the guys are hot and they know how to play with mass...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
AKIONGEA KWENYE KIPINDI KINACHOÖNESHWA NA EATV NA SALAMA JABIL KWENYE KIPINDI CHAKE CHA MKASI.MASOD ANASEMA LICHA YA KUFANYA KAZ KWA MIAKA 9 HUKU AKILAZMIKA KUAMKA MAPEMA ALFAJIRI BADALA YA KWENDA...
4 Reactions
53 Replies
28K Views
Leo ni kumbukumbu ya marehemu Steven kanumba toka aage dunia, ni mwaka wa pili sasa. 1.Ni vitu gani unakumbuka kutoka kwake? 2. Ni filamu gani Kali zilikuvutia za marehemu kanumba?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…