Orodha ya wanawake wenye kupagawisha wanaume wengi zaidi DUNIANI

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
jennifer_lopez_butt1.jpg

Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi ya kwanza kwenye orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka yake ameya weka bima ya dola milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha assets yake hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka 2001. Ambalo ni moja ya magazine iliyoweka histori ya rekodi ya gazeti lilouza kuliko. Kiukweli hilo ---- limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya hapo. ------ mengine ya nakuja na kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila kitu kulinda ---- lake. Lol


2. Kim Kardashian.
kim-kardashian-booty.jpg

Anautajiri wa dola milioni $35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake umetokana , umodel, uigizaji, mwanamkemfanyabiashara, Television Personality, na socialite. Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni mwanamke mwenye ---- kubwa Hollywood, nalilionekana sana kwenye s*x tape ambayo alikuwa nimmoja ya maboyfriend wake maarafu sana. Naalishazushiwa kuwa ------ yake ni yakutengeza lakini yeye alikataa akasema no way its real.


3. Beyonce.
beyonce-booty.jpg

Anamiliki utajiri wa dola milioni $300 milioni. Jinsi gani alivyotengeneza utajiri?? Dada huyu anaingiza pesa zake kwa kuwa muandishi mzuri wa nyimbo, rekodi Producer, muigizaji, umodel, mvumbuzi wa mavazi, na ni mfanyabiashara. Anajiita ¡°b**t-y-l-i-c-i-o-u-s¡± . Nahuyu anachukua nafasi ya 3 kwa kuwa na ------ makubwa Hollywood


4. Serena Williams
serena-williams-booty-11.jpg

Anautajiri wa dola miliobi $85, nautajiri wake unatokana na uchezaji wa Tennis as Professional. Na nimaarufu kwa kwa kuwa na ---- kubwa kwenye tennis, lakini kutoka kwa serena mwnyewe anasema kuna mwanamke mwenye ------ makubwa kuliko yangu huko nje nikisimama nae ni aibu tu.


5. Nicki Minaj
nicki-minaj-booty.jpg

Anautajiri wa dola milioni $14 ambao umetokana na uandishi wa mistari yake na rapa, mwanadada huyo anapenda sana kuongelea kuhusu ---- kila wakati, hata kwenye interview iliotokea New York post Nicki Minaj alikuwa anaongela kuhusu ruma za utengezaji wa ------ yake. ¡°absolutely not¡± said Nicki Minaj alipokuwa anaulizwa kuhusu ------ ya kutengeneza , ¡°people will pick anything to talk about , and that happens to be the thing at the moment¡¯¡¯. Alisema Nicki Minaj.


6. Vida Guerra
vida-guerra-booty.jpg

Anautajiri wa dola milioni 2.5 na amazitengeza kupitia kazi yake ya umodel. Wakati hajulikani kama wanawake wengine waliopo kwenye orodha yetu, Nyuma kwa Vida kunamilikiwa na dunia, alishinda FHM¡¯s Best B*tt , kwenye the world award na sio mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji lakini anajivunia kwa kujilikana kwa umbo la mwili wake. Kiukweli ameshinda tuzo ya best b*tt mara mbili .


7. Nicole ¡°Coco¡± Austin
coco-austin-booty-2011.jpg

Anautajiri wa dola milioni 4 kutokana na umodel, reality Tv Personality , web personality. Hakuna wasi wasi wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole Coco Austine anajivunia mwili wake sana. Anapenda kupost picha za makalio yake sana kwenye Twitter,


8. Buffie Carruth
buffie-carruth-bootylicious.jpg

Buffie Carruth vile vile anajulikana kwa jina la Buffie The Body or simply Buffie, ni model kutokea Athens, Georgia anajulikana kunekana kwenye posing za hip hop zinaendana na magazine na kuonekana kwenye video za hip hop. Shukuru kwa model kama Buffie The Body the Big Booty¡± comple imefagia Us nzima nao inelekea to getting out of control.


9. Jessica Biel
jessica-biel-bootylicious1.jpg

Anautajiri wa dola milioni $ 18 , amepatamafanikio hayo kwa kuwa muigizaji, model na mwimbaji , anachukua nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio makubwa kwa wanawake maarufu. Alianza kucheza kwenye tv kama mtoto wakike wa muhubiri. Lakini umaarufu wake ulitoke bada yakupiga picha ya utupu kwenye Gear Magazine akiwa na umri wa miaka 17.


10. Sofia Vergara
sofia_vergara_booty.jpg

Anamiliki utajiri wa dola milioni 14, na utajiri huo unatokana na uigizaji, modeling , mtangazaji wa television na mjasiriamali. Ni muigiza wa modern family amefungasha kila mahali. Ni mdada mwenye kipaji, mzuri na ana makalio mazuri yenye mvuto sana. Ame shikilia namba tatu kwenye Askmen.com 99 Most Desirable Women.

11. Melyssa Ford
melyssa_ford-booty.jpg

Anamiliki wa dola milioni 2. Na utajiri huo umetokana na uigizaji na umodeling , anashikilia nafasi ya 11 kwa kubarikiwa na ---- nzuri. Kiukweli anajulikana kuwa naumbo zuri lenye mbinuko. Ameonyesha anavyotingisha ------ yake kwenye vido ya Jay-Z, Ghostface killah, na Mystikal, anajulikana mwanamke mweusi mzuri sana duniani.


12 Eva Mendes
eva-mendes-booty.jpg

Anamiliki utajiri wa dola milioni 12. Ambazo amazitengeza kwa kazi zake za uigizaji, model, uimbaji na ububifu. Eva Mendes maumbile yake yanaweza kumbadilishi shoga kuwa mwanaume waukeli, eva aliamuwa kutikisa dunia baada ya kutoka kwenye Peta akiwa mtupu. Kampeni ilifanyika rockeffeller Plaza. Like mamlaka ya jiji ili waambia waandaji wasi to mda kamili au sehemu itakapofanyika maana walikuwa wanaogopa kutengeneza Mob scene.


13. Halle Berry
halle-berry-booty.jpg

Anamiliki utajiri wa dola milioni $70 , ambazo zinatokana na uigizaji , na ni former model anachukua nafasi ya 13 kwa kuwa na makalio makubwa holly wood. Na kucheza kwake kwenye movie ya swordfish na monster¡¯s ball imemfanya halle Berry¡¯s kutikisa Hollywood na kwenye orodha yetu anatinngisha pia kwa kuwa na makalio makubwa ndani ya Hollywood.


14. Scarlett Johansson.
scarlett-johansson-booty.jpg

Anautajiri wa dola milioni 35 ambazo amazitengeza kutokana na uigizaji wa movie. Anachukua nafasi ya 14 ya wanawake wenye makalio makubwa Hollywood, anamwili wenye mvuto sana kwenye big scree, ana anajivunia kuwa nao, na haya ni maneno yake. ¡°im curvy-I¡¯m never going to be 5¡¯11 and 120 pounds¡± ¡° but I feel lucky to have what I have got¡± na tunafurahia kumuangalia lol.


15. Shakira
shakira_ass1.jpg

Anautajiri wa dola milioni 140 ambazo amaezitengeza kwa kuwa mwimbaji, na mtunzi mzuri wa nyimbo na record producer. Hakukosea kusema Hips don¡¯t lie na hata makalio yake vile never lie. Alichukua nafasi ya tatu kwenye Vote poll ya dunia ya best butt. Ya mtandao wa WENN.com. shakira alifunika kwenye album Laundry Service na kutingisha makalio yake juu ya stage.

...etc, ongeza orodha hapa chini ya unaowajua...
 
hash tag 5 and 7 ni ya kuchonga hayo



K Michelle

 
Last edited by a moderator:
Huyo Kim kadarshian alifanyiwa ile operation ya kueka vitu kama maputo kwenye wowowo huko. kna siku moja lilipasuka akapelekwa Hospital..hehehe..alibonyea upande mmoko..nilisikiliza BBC Swahili siku moja jumamosi asubuhi
 
Mbona sioni Wema, Shilole, Mange au bongo celebrity yoyote kwenye list? Kulikoni?
 
Huyo Kim kadarshian alifanyiwa ile operation ya kueka vitu kama maputo kwenye wowowo huko. kna siku moja lilipasuka akapelekwa Hospital..hehehe..alibonyea upande mmoko..nilisikiliza BBC Swahili siku moja jumamosi asubuhi

mmh makubwa!
 
BARCELONA, HISPANIA
ETI hapendwi mtu linapendwa pochi, nani kasema! Unamfahamu Shakira wewe! Ana pesa balaa, lakini amezama kwenye penzi la mtu aliyemzidi fedha kwa zaidi ya mara 10.
Ukiachana na pesa, Shakira ni mrembo na ana jina kubwa kwenye ulimwengu wa waburudishaji, lakini mtu anayetoka naye ni wa kawaida sana, beki wa Barcelona na Hispania, ambaye kipato chake ni Dola 15 milioni tu. Lakini, kwa mrembo huyo wa Colombia, Shakira, ambaye jina lake halisi ni Shakira Isabel Mebarak, aliyezaliwa Februari 2, 1977, Arranguilla, Colombia, hakuliona hilo licha ya kuwa na kipato kikubwa mara 10 ya anachovuna bwana wake.
Shakira anatajwa kuwa na pato la Dola 200 milioni, huku vyanzo vingine vikidai kwamba pato la mwanamuziki huyo mrembo ni Dola 140 milioni.
Shakira, mrembo mwenye mvuto wa aina yake, amepata umaarufu kwa sababu ya kufahamika kwake kama mwimbaji, mtunzi, mwigizaji, mtayarishaji na pia ni mnenguaji, ambavyo vyote kwa pamoja ndivyo vilivyomfanya kuwa na kipato hicho.
Vyanzo vya kipato chake
Sanaa ya uburudishaji ndiyo chanzo kikuu cha kipato cha Shakira. Nyota huyo wa muziki ameuza zaidi ya nakala 60 milioni za albamu zake duniani kote.
Nchini Marekani peke yake, Shakira ameuza nakala 10 milioni za albamu zake na kuwa mwimbaji wa pili wa kutoka nchi za Kilatini aliyeuza albamu kwa wingi nyuma ya Gloria Estefan.
Umaarufu wake unampatia dili nono za udhamini wa kampuni, ambapo mrembo huyo anashika namba tatu kwa wasanii wanaotazamwa zaidi kwenye YouTube. Shakira pia ameshinda tuzo mbalimbali, ambapo zawadi zake zinahusisha pia pesa.
Mwaka 2008, Shakira alisaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya Dola 300 milioni wa kufanya kazi na kampuni ya matamasha ya Live Nation, dili ambalo linamwingizia pesa zaidi na kupaisha kipato chake.
Albamu yake ya kwanza ilikuwa ¡°Pies Descalzos¡±, iliyofanya vyema Hispania na Latin America, wakati albamu zake nyingine zilizofanya vizuri ni pamoja na ¡°Donde Estan Los Ladrones?¡±. Alitamba pia na nyimbo kama ¡°Whenever, Wherever¡±, ¡°Hips Don¡¯t Lie¡±, ambazo zilipata kuwa maarufu katika nchi zinazozungumza Kiingereza.
Kipaji chake

Shakira alianza kuimba tangu akiwa shule, lakini kunengua kulimpa umaarufu zaidi. Uwezo wa kuzungumza lugha nyingi tofauti umempa Shakira nafasi nzuri ya kibiashara. Ukiachana na Kispanyola na Kiingereza, Shakira anaweza pia kuzunguza Kireno, Kifaransa, Kiitaliano, Katalunya na Kiarabu.
Kipato cha mpenzi wake
Shakira ana uhusiano wa kimapenzi na beki wa Barcelona, Gerard Pique na tayari wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume, Milan. Kipato cha Pique ni Dola 15 milioni, ambapo mshahara wake kwa wiki ni Dola 120,000 na kumfanya kwa mwaka aingize Dola 6 milioni ikiwa ni pamoja na bonasi.
Pique, aliyewahi kuichezea Manchester United anamiliki mikataba ya kibiashara na kampuni za Nike na Mango, ambapo kwenye tangazo la Nike alitokea pamoja na staa wa mpira wa kikapu, LeBron James na mkali wa tenisi, mrembo Sarena Williams.
Mango ni kampuni ya mitindo ya mavazi ya Hispania, ambapo Pique amesaini mkataba wa miaka miwili wa kufanya nao kazi.
Jumba wanaloishi
Mwaka 2011, Pique na Shakira walinunua jumba la nguvu jijini Barcelona lenye thamani ya Dola 5 milioni. Jumba hilo lipo karibu na uwanja wa mazoezi wa Klabu ya Barcelona.
 
Aiseeeee babayangu mbona simwoni johari,ant,wema na lulu au nimeruka ngoja nianze upya
 
mkuu umebugi, labda ubadilishe kichwa cha habari, otherwise i would expect to see kina LISA ANN, ALEXIS TEXAS,SOPHIE DEE,ABELLA ANDERSON and likes way top on your list, coming to sexual attractivenes they got the 'PACKAGES' and NERVES
 
Back
Top Bottom