John Dilinga Matlou Kukinukisha kesho Power Jam.

John Dilinga Matlou Kukinukisha kesho Power Jam.

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,531
Reaction score
94,194
Umofia kwenu JF,
Yule Mkongwe wa ma DJ John Dilinga al maarufu kama DJ JD kesho atakinukisha ndani ya power jams Ea radio katika bongo oldiez kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi jioni,si kipindi cha kukosa wadau mtaokuwa na axes kirekodini hcho kipindi maana itakuwa hatari.
 
unamaanisha nini.......

I love DJ JD That man really Rocks
 
nimemmiss mkali wa wakali dj jd kuna mtu yeyote aliyekuwa na mashoka akarecord hiki kipindi?
 
DJ JD namkubali sana, big up sana John Dilinga, u have never let me down kabisa
 
Ngoja niweke alarm kabisa. Toka Love n Dedication Zone The Cruise
 
Back
Top Bottom