Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

ALICHOKISEMA EMMANUEL MBASHA KUHUSU MKE WAKE FLORA MBASHA. Baada ya maneno mengi kuzaga kila kona ya Tanzania kwa wanandoa hawa wa wili.....Emmanuel Mbasha amefunguka na kuweka wazi anampenda...
1 Reactions
217 Replies
19K Views
Mtangazaji maarufu Salim Kikeke wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC ametwaa taji la Mtangazaji wa Runinga Anayependwa katika toleo la kwanza la Tuzo za Watu za Tanzania au Tanzania People’s Choice Awards...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Bi lucy ndo katangazwa ka mshindi wa bibi bomba, lakini watu aliowataja kwamba walimpeleka kwenye mashindano na wasifu wake wa kuwa kiongozi wa UWT naona kama ni FRAUD vileeeeee
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimesikiliza huu wimbo mpya wa ney wa mitego unaitwa mr nay.Anasema bongo nzima hip pop anafanya yeye wengine cjuwi wanaRap nini zaidi ya ubabaishaji?.Tena huyu jamaa kazidi kukufuru anasema...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
MAJINA YA KUWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA 2014 YALIYOPATIKANA KUTOKANA NA MAPENDEKEZO YA WANANCHI YA AWAMU YA KWANZA 1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA 1. Vanessa Mdee – Choice...
0 Reactions
110 Replies
14K Views
Chunguza kwa makini celebrities wengi huwaoni humu! Najua id zetu ni feki na si rahisi kumtambua mtu lakini kwa jinsi walivyo na mashauzi tungewajua tuu, manake wako hivi; wazuri wao, mahandsome...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wasalaam. Wanajamvi bila shaka bado wengi wetu tuna likumbuka jarida pendwa la Sani: Sani ni mmoja ya majarida yaliyo jizolea umaarufu hapo nyuma na bila shaka kila mtu hakupenda kukosa kila...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Mama wema ndo habari ya mujini....
2 Reactions
232 Replies
63K Views
Ili kuonyesha maumivu kwenye mausiano kwa mara ya kwanza ray C amefunguka live kwenye mitandao ya kijamii kuwa hataki tena mausiano ya kimapenzi na vijana wadogo a.k.a serengeti boyz Nadhani ni...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
It's hard to find a genuine friend in Hollywood. But there was no doubting the close relationship between Samuel L Jackson and Magic Johnson as they enjoyed a well earned vacation in Italy on...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase', Ammy Nando ameweka wazi kuwa alikuwa mmoja kati ya waathirika wa dawa za kulevya. Akiongea katika kipindi cha Hatua Tatu ha 100.5...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17). Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni...
2 Reactions
1K Replies
244K Views
Imebainika kuwa waliompiga mr nice na kumuharibu sura lengo lao kubwa lilikuwa kumfanya kitu kibaya (kumla kiboga) kisa kikiwa ni mke wa mtu,lengo lao kubwa kuna watu wamesema lilikuwa kumfanyia...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Posted by Super Malecela WJ Blog on Thursday, June 19, 2014 Muigizaji wa filamu Irene Uwoya jana alikuwa kwenye Kikaango cha EATV/EA Radio ambapo mashabiki huwauliza mastaa...
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Huu ndo mjengo wa kisasa ,unaodaiwa kumilikiwa na mheshimiwa mbunge, Vicky kamata.
3 Reactions
186 Replies
33K Views
WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa...
0 Reactions
101 Replies
23K Views
Hivi ni Kwanini mzee small kazikwa bila kuagwa viwanja vya leaders kama wanavyofanyiwa wasanii wengine?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga... Pembeni ni Baunsa akimwomba akiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake Chini benz Juzi Jumapili wakati...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mambo hadharani ! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ' Lulu ' na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Muigizaji katika tasnia ya...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…