Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM , Hadija Shaibu ' Dida' ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua magari mengine mawili kwa mpigo .
Dida...
Kumekuwa Na Mijadala Mingi Sana Inayojaribu Kuzungumzia Maisha Binafsi Ya Freeman A. Mbowe, Kubwa Ni Kuwa Amekuwa Akidaiwa Kumsaliti Mke Wake Aliyezaa Naye{lilian} Na Ikajengwa Hoja Kuwa Kama...
napenda kufahamu historia japo kwa ufupi tu ya huyu mtangazaji wa tbc taifa anaendesha kipindi cha ujumbe na mziki.
Ni moja kati watangazaji ninaowakubali sana kwa uwezo wa kuwasilisha na...
Wenye maduka ya nguo na saluni za kike wamewalalamikia Wolper na Lulu kwamba ni wakopaji maarufu na wasiopenda kulipa madeni yao.
Nasikia hata matengenezo ya kucha wanakopa. Hizi habari zimenza...
TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton' kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu...
TAARIFA KATIKA PICHA : AFYA YA BAHATI BUKUKU YAZIDI KUIMARIKA NA WALA HAJAVUNJIKA MGONGO
Hali ya mwimbaji wa nyimbo za injili Bahati Bukuku inazidi kuimarika na kuendelea vizuri kama GK...
Huyu ni msanii wa kike maarufu tu, na jina lake lilianza kukua zamani kidogo na alishaandikwa sana kwenye magazeti kwa scandal za kutoka na wanaume tofauti, ni mfupi mwenye rangi ya kunga'aa na ni...
Leo nlikuwa nmeenda mapinga kutizama vipolti japo nitafute pakuweka mgongo ila kuna sehemu nimeonyeshwa kiwanja kina ekari zinakaribia 44 naambiwa na madalali kuwa ni mali ya Yule msani wa wasafi...
Juzi ijumaa Mpoto alinusurika kuporwa kiasi kikubwa cha pesa wakati akitoka bank ya CRDB Mbagala kwenda kigamboni kupitia kongowe
Kwa mujibu wa maelezo yake nwenyewe alikuwa anaenda kununua nyumba...
MISS Tanzania 2006 /07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka .
Akizungumza kwa huzuni , Wema alisema...
Wakati bimkumbwa Wema Sepetu akijiaminisha kua ni mke mtarajiwa wa msanii Diamond platnum
Platnum kafunguka na kusema hafikiriii kuoa, Mama ubaya tumbo jotroooo na pete yake ya ndoa aliyojivisha...
Hizi ni tetesi ambazo wadau wa sheria wamenikonyeza na mimi kuamua kuziweka hapa,haijulikani atarudisha jina la baba yake au ataweka la mchungaji mmoja maarufu, inasemekana jina hilo litaonekana...
Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.
Big up Dangote platinum...haters...
PREZZOS ex fiancee CHAGGA BARBIE claims the RAPPER has infected her with STD and reveals that he has not been using CONDOM since the first day he started having SEX
BBA The Chase...
Namjua kwa kiasi kidogo sana huyu binti lkn niwe muwazi kwamba ninaiona nyota ya Mtangazaji huyu wa Star TV iking'aa kwani anaonesha ana kipaji cha pekee, KILA HERI IVONA
Hivi ni sahihi kwa Adam Mchomvu kumwambia msanii kuwa "NYIMBO YAKO NI MBAYA SANA" mpaka msanii huyo kutoa chozi?
Je, kulikuwa na maana gani kumwita kwenye KIPINDI?