Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mtangazaji wa kipindi cha ‘Boys Boys’ cha TV 1, Mwisho Mwampamba na mkewe Meryl ambaye walikutana na kuanzisha mahusiano kwenye Big Brother Africa ‘All stars’, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa...
3 Reactions
18 Replies
9K Views
Profesa Jay amekuja na video mbili kali alizofanya na directors wa kitanzania. 1. kipi sijasikia aliyomshirikisha Diamondplatnumz Hii video ni kali japo sijaona Adam Juma akifanya jipya kwenye...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kate Samwel likes Wema Sepetu. Yesterday at 5:00pm · Wema Sepetu Actor/Director · 159,862 Likes Ndugu wana bodi, Picha hapo juu nimecopy kama ilivyo kule facebook na kuileta kwenye jukwaa...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Kituo cha habari cha kimataifa cha Marekani BET international kilikuwa kikiripoti live kila hatua ya show aliyofanya Diamond weekend iliyoisha uko Uingereza, kupitua kurasa zao za social networks...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
FEDHA haina mwenyewe ! Siku chache baada ya kudaiwa kuyumba kiuchumi kiasi cha kuzidiwa jeuri na aliyekuwa shosti wake , Kajala Masanja ' K' , Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ameibuka na...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
STAA wa filamu ya Kigodoro , Mama Abdul ' Kantangaze ' hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kuwacharukia wezi wa nyama misibani, hasa akina mama. Mama Abdul alitoa kauli hiyo baada ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band Hapo Kwenye Picha Wema Alikuwa anaimbiwa Wimbo Maalumu kwa Ajili yake na Kuamua...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
0 Reactions
104 Replies
15K Views
Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz', Moses Iyobo ‘Moze' kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Kutokana na fitna nyingi zinazoendelezwa na aliyekuwa kiongozi wa Bongo Movie William Mtitu, pamoja na mjomba Mrisho Mpoto raisi was bongo movie ameamua kuachia madaraka, wasanii mtakula wapi...
0 Reactions
72 Replies
11K Views
Kati ya vitu ambavyo kwa msanii wa hapa bongo anavyojali most,miongoni mwao ni ku-maintain status yao ya u-superstar,na moja kati ya vitu anavyotakiwa kufanya mtu kama star ni kufanya vitu tofauti...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Baada ya kupitia kipindi kigumu cha kutumia madawa ya kulevya ' unga ' kisha kunusuriwa, super lady kwenye Bongo Fleva , Rehema Chalamila ' Ray C ' , hatimaye mambo yameanza kumnyookea...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Yuko wapi Linda, msanii wa mchezo wa luninga uitwaoTausi. Nimemkumbuka sana huyu binti nadhani sasahivi atakuwa ni mtu mzima na mrembo sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona story nyingi ni za udaku/ukuda na chache sana ni uhalisia! Je hili jukwaa ni lazima kuweka kipaumbele story feki au udaku/ukuda? Magazeti ya udaku yamechukua nafasi kubwa hapa ambapo mara...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Hawa watu wanafanya hiphop kweli hadi nafurahia wapo kote kwenye bars, lyrics nzuri and they do it for hiphop. Wadau naombeni mawazo yenu nani mkali.
0 Reactions
29 Replies
7K Views
1. Steve Jobs Inawezekana komputa za Mac na bidhaa nyinginezo kama iPhone zisingekuwepo kama Steve Jobs angebakia chuo. 2. Bill Gates Moja wa watu walioacha chuo Harvard na wamefanikiwa na ni...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Msanii wa bongo flava Ney wa Mitego ametoa video mpya ya wimbo wake MR NEY, katika wimbo huo kuna taswira mbalimbali ambazo zimeonekana kwa wale wenye kuingalia Music industry kwa jicho la tatu...
0 Reactions
28 Replies
17K Views
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi. Tanzania To Lagos, I go make you famous. Aibu sana kwa taifa. Au...
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Mambo hadharani Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ' Nay wa Mitego ' kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally...
2 Reactions
60 Replies
19K Views
D.plutnumz anatarajia kutumbuiza katka uzinduz wa BBA hapo kesho pamoja na wasanii wengine kutoka Africa . Chanzo:BONGO 5
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Back
Top Bottom