Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Diamond ka post kwenye IG kwamba kidogo Alichoweza mzawadia Wema ni Gari la aina ya Nissan Murano kama birthday present Si juzi tu hawa walilikisha habari kuwa Diamond ana vikao vya...
0 Reactions
120 Replies
23K Views
  • Closed
Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio...
2 Reactions
175 Replies
26K Views
Maisha ya wasaniiwengi wa kibongo kwa ufupi ni ya chini sana kiuchumi japo wanajifanya wana mawe 1.HAWANA MAMENEJA WAZOEFU: Wasanii wengi hawana mameneja ndio maana maisha yao ni zigzag, kuna...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni video ya Rich Mavoko mpya ya wimbo Pacha wangu. Ni video nzuri sana imefanywa na Adam Juma nimeipenda quality yake na chui aliyetumika umo. Kilichonishangaza ni Mavoko kuvaa Tshet moja ya...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
GATHO BEEVENS Azalaki awa - YouTube Unakumba nini kipindi hiko
3 Reactions
21 Replies
10K Views
1.Muziki wa kisasa umegawanyika katika makundi haya (a)Nyimbo za taratibu kama SOUL,R&B,urban JAZZ,na Zouk,country(b)Nyimbo zenye kubeba hisia za kimapinduzi au changamoto kama HIP...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
msaada jamani kama kuna mtu mwenye huo wimbo tafadhali, nmehangaika sana kutafuta audio na kuutafuta youtube nmekosa, kama kuna ambaye anayo audio au video msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Haya mambo ya instagram sasa sijui ndo coming out the closet au ndo tunaenda sambamba na kina lulu kwa mwendo wa WCW wtva! Jack Wolper upo hapo? Ma selfie hayooo. innanilah......koh!
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Ameandika hivi kwenye page yake ya facebook 25mins ago Najua wote tungependa tufurahie kwa pamoja siku yangu hii ya kuzaliwa, lakini kwa bahati mbaya hakuna ukumbi utaoweza kututosheleza... sasa...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Nimeona tangazo la sporah show clouds tv itakayofanyika leo J4. diamond akiongea ung'eng'e wa hatare, kumbe jamaa sasa hivi kimombo kinapanda eeh msisahau kufatilia mtupe update alichochapia!" au...
0 Reactions
83 Replies
13K Views
Vijana wa bongo flava, Gosby na Godzilla wamekuja na kibao kipya "Blame on Me" Kibao kimekuwa produced na Mswidish Fundi Samweli, na kimerekodiwa kwenye studio za Fundi, Maeneo ya Kibaha...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Channel ya E! ,muda huu wanatangaza kuwa muimbaji Jordin Sparks na Jason Derulo wameachana rasmi. Walikuwa kwenye uhusiano toka 2012.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
  • Closed
1.Mimi nashindwa kuwaelewa kabisa, Hivi ni kweli nyie ni mambo safi? Yaani hela mnazo za kutosha au wanawazushia? 2.Hivi ni kweli zile picha za uchi ninazo ziona kwenye mitandao ya kijamii na...
13 Reactions
196 Replies
25K Views
Walahi namwonea wivu dada yangu wema kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mtvbase has just announced Diamond platnumz as the artist of the month October with effect from today.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza. Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa, vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na...
6 Reactions
380 Replies
56K Views
Wadau. Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga. Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato...
0 Reactions
68 Replies
27K Views
Kiukweli UKWELI siku zote unauma tena sana,lakini mimi nasema hivi, akupendae kwa dhati hukueleza ukweli juz ijuzi hapa watu walimfungia Diamond kibwebwe na matusi kibao kisa kumpa za uso wema...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…