Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Acha kabisa ! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba' ke , Malick Bandawe kisha kurudi kwao , Kigogo jijini Dar , staa grade one wa Bongo Movies , Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki...
0 Reactions
84 Replies
22K Views
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.
3 Reactions
62 Replies
10K Views
Nimebahatika kukutana na Komando Lady Jay Dee leo mchana na amejibu maswali kadha kuhusu Nyumbani Lounge na Binti Mchozi. Machozi Band Jide amesema "kwa sasa hakuna Nyumbani Lounge ila...
5 Reactions
94 Replies
15K Views
Mpaka sasa yamefanyika mengi katika muziki wa Tanzania, wafuatao kwa maoni yangu naona wanastahili kupata tuzo kutokana na mchango wao katika muziki ndani mwaka 2014 ambao kimuziki ndo kama...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa MwanaFa akiwa kwenye kipindi Choice fm ni kuwa Davido alilipwa Dolla 40,000 kupiga show Fiesta. Fa alihoji kwa nini waandaaji wasiwalipe dolla 10,000 wasanii wanne wa Bongo wapige...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Wanajamvi wasalam! Wema sepetu akihojiwa kwenye kibinti cha Power jams cha East Africa Radio aliulizwa kuhusu picha iliyo onekana akipeana kiss na Aunt Ezekiel na kuhusishwa na Usagaji na Wengi...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Nilikuwa natazama Komedi ya kundi la Orijino Komedi. Naona katika orodha ya washiriki, yupo Joseph Shamba "Vengu" ambaye ni mwaka wa pili sasa hajaonekana hadharani. Yuko wapi? Tuliambiwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Makavu Ya Leo: Masikini Akipata ------ Hulia Mbwata, bwana mdogo Diamond mtoto wa Tandale ambae wakati Wema Sepetu anakuwa miss yeye alikuwa anauza mitumba kule Tandale kapata pesa sasa naona...
10 Reactions
116 Replies
20K Views
Baada ya kuachana na mkewe, Halima Ally, staa wa Nyota ya Chipsi Mayai na Prodyuza wa Sharobaro Records, Raheem Rummy Nanji ‘ Bob Junior’ amenaswa live na mrembo anayejulikana kwa jina la Sabrina...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
In the words of Chris Brown, he's the one Rihanna truly loves, not Drake. That's because he said when they had issues, Rihanna had to date Drake to make him jealous. Chris was on New York radio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Oh, this is bad news for Lamar Odom who we thought stood a chance with Khloe Kardashian. The latest between Khloe and French is that the two might get back together sooner than we expect because...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
The new gist in town is that Limpopo master, Kcee just got himself a customised 2014 Cadilac Escalade. That's not all, the most stunning about it is that, it is gold plated...glittering! That's...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa fedha kiasi gani kwani...
1 Reactions
76 Replies
9K Views
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII Wenye kujua mafumbo...
28 Reactions
212 Replies
31K Views
Kwa kuwa ni wazi kuwa Dada Sitti Mtemvu atavuliwa taji kwa kudanganya umri na kuongoe kifaransa ili kukwepa maswali napendekeza Taji apewe yule mshindi wa tatu. Nadhani yule ana sifa zote za...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa msanii wa Bongo movie ameaga dunia.Ila bado habari hizi hazijawa na uhakika. RIP mzee wetu. ============ Updates ========== Habari zilizotufukia...
2 Reactions
53 Replies
17K Views
BAADA ya hivi karibuni kumchana laivu Mkurugenzi wa Mwami Foundation, raia wa Kongo, Mwami Rajabu, staa wa Bongo Movies , Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kumwangukia jamaa huyo na kumuomba...
0 Reactions
235 Replies
22K Views
WanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na...
14 Reactions
212 Replies
28K Views
Namkumbuka huyu mtangaza alivokua anachambua michezo kama cherehani vile(kwa spidi). Yuko wapi jamani?
0 Reactions
14 Replies
7K Views
WAKATI nyota wa muziki wa Hip Hop , Rashid Makwiro ' Chid Benz ' akikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa na madawa ya kulevya akiwa njiani kuelekea Mbeya, Rehema...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…