Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi ' H. Mama' na mwanamuziki Hamis Ramadhan ' H. Baba ' wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa
Akizungumzia mjengo huo walioupanga...
Kupitia akaunt yake ya instagram jaydee ameelezea alivyochukilia mwaliko wake wa kuwa mgeni rasmi katika sekondari ya unyanyembe inayomilikiwa na jeshi kuwa ni zaid ya heshima kwake.
Ni kwamba...
Wadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu...
Okay, Kuna watu wanataka ku-prove kuhusu hizo taarifa za umri wa Miss wetu fuata hizi steps, ni simple ingia https://i94.cbp.dhs.gov/, then chini chagua I agree, bofya proceed halafu ikifunguka...
Vyeti vya Miss Tanzania 2014 vyaanza kuchunguzwa na RITA, ikibidi Polisi kuhusishwa
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), imeanza uchunguzi wa vyeti vya Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas...
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay', mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha...
Mimi naamini kuwa kuna wakati Watanzania tunatatizo la kutenganisha ushabiki wa kisiasa na ushabiki katika vitu vingine.
Pamoja na kuwa kuimba ni kipaji lakini ni zawadi toka kwa Mungu, na ndio...
Dear Ali Kiba 4real kuwa makini na hawa watu wanaofurahia kuzomewa kwa Diamond.Hawa watu wanaomchukia Diamond leo ni hawa hawa watakuchukia siku ukifika level za Diamond.Kwa zawadi ya sauti ya...
Miss Tanzania naona umesahau kuwa wewe ni mwakilishi wa taifa la Jamuhuri ya Muungano Tanzania,
Hivyo uwakilishi wako siyo kuwa unawakilisha jina lako kama Sitti Mtemvu bali unawakilisha taifa...
Nasikiliza kipindi cha Afrika Ngoma kutoka Radio 5 FM nikaweza kurekodi sehemu ya interview kati ya mtangazaji wa kituo hicho na Meja wa JWTZ, Meja Joseph Massawe. Kinacho onekana ni kuwa Naseeb...
Kiukweli kilichotokea fiesta ni aibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema Diamond hana jipya,hili linaukweli ndani yake?
Kitoronto kimetawala kila kona.Sasa kati ya Kiba na Diamond ni nani hana...
Naomba niweke wazi kwanza kwamba mm si shabiki wake hata nusu. Lakini ni miongoni wa watu wanaotumia muda mwingi ktk social media ambako siku hizi hata TV na redios hazioni ndani kwa social media...
Raisi Obama amejikuta katika masihara au wakati mgumu pale alipoambiwa na kijana mwenye wivu na mwenye nacho asimguse rafiki yake wa kike. Hili limetokea katika kituo cha kupigia kura kule...
Oscar kusekwa jela miaka mitano, na miaka mitatu ya kifungo cha nje, Je kwanini Lulu wa bongo movies , wasiwekwe jela miaka mia nane?? koz tunapoelekea anaenda kumpiga tena JB wa bongo movies...
Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ni msichana mrembo na anayevutia kimapenzi ambayo Tanzania haijapata kuwa nae, kwa kweli ukimuangalia kwa haraka ni msichana mwenye heshima na upeo wa hali ya...
Hakika Kiba ameitendea haki hii collabo, FA hajakosea kumpa shavu huyu king aliyerudi!!
Mwaka huu watakaa tu, Kiba sasa ni kama maji usipoyanywa utayaoga tu!!
Mpo hapo eeee
By albertomsando
Ali Kiba; Diamond na Muziki:
Kila mwanadamu anapenda kufanikiwa katika jambo lolote analofanya. Mafanikio yanatokana na sababu nyingi lakini muhimu zaidi ni;
1...
DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA:
1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE...Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.