Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
" Uwiii jamani saa 7 mchana hii sijafanya lolote nimekalia umbea tu. Keanu hata uji hajanywa, mwanangu analia njaa mamake nimekalia umbea… Uwiii byeee, ngojeni nimlishe mtoto then nichat na...
10 Reactions
2K Replies
186K Views
  • Closed
Wiliam amewaponda kuhusu wale wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao! Kama zina hadhi ya kama ya mama le mutuzzz
2 Reactions
378 Replies
48K Views
Mwanadada mrembo Jokate Mwegelo afanya uzinduzi wa nguvu wa game lake la simu za mkononi za android na kuwepo playstore na kufanya sherehe ya nguvu.Jina la game linaitwa "Jokate bottle spin" na...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Aliyekuwa Mtangazaji wa vipindi vya Michezo wa redio Clouds Dar es Salaam,Ibrahim Masoud 'Maestro' (pichani kushoto) leo amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Kituo maarufu hivi sasa cha radio...
5 Reactions
43 Replies
12K Views
COMPTON, Calif. (AP) - Death Row Records founder Marion "Suge"Knight turned himself into authorities early Friday after his attorney said therap mogul accidentally ran over and killed a friend and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Turn EATV now kwenye kipindi chake cha Diary,anamtabiria mambo mbalimbali ya maisha yake
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Msanii Davido mwenye umri wa miaka 22 aina ubishi kwa sasa ni mmoja ya wasanii matajiri wakubwa kwa Afrika na nchini mwake Nigeria. Anamiliki Jet binafsi, gari za kifahari na mijengo ya maana...
0 Reactions
23 Replies
18K Views
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond', Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo . Akizungumza na...
2 Reactions
104 Replies
29K Views
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni Pastor na zaidi ya yote hapo nyuma Linah alikuwa muinbaji mzuri Kanisani kabla hajaasi.
0 Reactions
69 Replies
15K Views
Wajue matop na mastar watatu wa bongo wenye followers wengi Instagram, pia tutajie wengine unaona kuwa wanafollowers wengi as I see kwa hawa. .
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Mwenye uwezo wa kumsaidia kimawazo Nikki Mbishi amsaidie naona sasa huyu kijana mwenzangu anapagawa. Majuzi kati kwa maamuzi yake mwenywe bila shuruti alitangaza kuacha muziki,cha ajabu leo katoa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimeona hii picha sehemu
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Baada ya kuzoeleka kwamba kila mwaka Diamond platnumz kukonga nyoyo za watu wa Nai katika concert ya Safaricom. Sasa imekua ndivyo sivyo, baada ya waandaji hao kubadilisha upepo na kumchukua...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Muigizaji mkongwe wa filamu na moja kati ya waasisi wa Kaone Sanaa Group, Halima Yahya ‘Davina' amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna waigizaji wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Kampeni mpya ya Vinywaji Baridi ya Coca cola Kutumia Majina ya watu maarufu na Mastaa wa filamu Nchini na Kuipa jina la #shareacokeTz imeanza kulalamikiwa baada ya mmoja wa wigizaji Maarufu hapa...
3 Reactions
295 Replies
30K Views
Imependeza!
1 Reactions
88 Replies
6K Views
Dogo kiukweli anajua na juhudi na kujituma Vizuri sana. Tatizo ni huyu sk sijui salam Ngoja kwanza ntawaekea ig yake muone utumbo Wake anaandika kuhusu show ya jana Ya tigo kiboko yao. Huyu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mziki ni mfumo ambao unapopangiliwa vizuri basi huwa na dhamira mbalimbali lakini maudhui ambayo huwafikia watu kwa urahisi ni burudani na kuelimisha, na kila msanii huwa ana style yake ya...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Msanii wa bendi ya Twanga Pepeta,Luiza Mbutu amesema kilichomfanya Aisha kutumia madawa ya kulevya ni uvutaji sigara uliompelekea kuvuta bangi aliyofundishwa na Banza. Banza alikuwa...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…