Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habari wana JF, Kweli mziki unalipa sana,Msanii wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana Fa) aonyesha jeuri ya fedha. Mwana Fa asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanaotumia matajiri...
2 Reactions
128 Replies
21K Views
Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe Stori: Deogratius Mongela na Chande HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzi kati alinusa kwenye gospo...
1 Reactions
74 Replies
28K Views
Mungu ni mkubwa :Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa. Habari kutoka...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Mjanja wa Mjini Kijana Petitman Wakuache ambae ni Shemeji wa Mwanamuziki Diamond Jana Ameendeleza Series ya zawadi za Magari kwenye sherehe za kuzaliwa baada ya kumzawadia mke wake gari aina ya...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Kama umedownload au kutumiwa wimbo unaosemekana kuwa ni wa Diamond featuring P-Square na pamoja na kuusikiliza kwa mara kibao ukashindwa kusikia sauti ya Paul au Peter Okoye, basi sikio lako...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mzee Abby Sykes afariki dunia. Baba Mzazi wa Dully sykes, Ebby Sykes amefariki dunia leo.Habari hizi zimethibitishwa na Mwanae Raya Sykes.Mzee Sykes amefariki akiwa na umri wa miaka 62.
0 Reactions
46 Replies
20K Views
Mwaka 2013 pale nchini Uganda, Proscovia Oromait aliweka rekodi ya kuwa The Youngest MP in the World baada ya kuchaguliwa akiwa na miaka 19 tu. Sasa basi huu ni wakati muafaka wa vijana wetu...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
AMEKUWA MBONGO WA KWANZA KUNUNUA TOLEO JIPYA LA SNEAKERS ZA YEEZY ZA KANYE WEST, UNAAMBIWA KUNA MASTAA AMBAO HATA MAREKANI BADO HAWAJAVIPATA HONGERA LAMAR KWA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Msaani maarufu wa Maigizo Nchini aitwaye Rashid Mwinshehe maarufu Kama "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza...
11 Reactions
193 Replies
25K Views
BEAUTIFUL-Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili’.Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali...
1 Reactions
50 Replies
12K Views
Diamond Vs Ali Kiba ni ushindani usio rasmi unaochochewa zaidi na mashabiki wa muziki Tanzania kwa kuwa wawili hao licha ya kuwa wote ni wasanii wenye uwezo mkubwa sana kwenye uimbaji wanatajwa...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Naomba kujuzwa alipo huyu mtu sasa. Mwenye mawasiliano yake aweke aisee
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Jamaa anasema alienda kusoma na alipirudi akakuta kibarua chake kimeota ngaro Ila anakiri ITV ndio kituo bora cha TV Tanzania,Amesema wakimwita hata usiku wa manane yupo tayari kwenda kufanya kazi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Umofia Kwenu wana JF, TID alifanya interview na kituo kimoja cha TV ambacho alieleza nini kilikuwa chanzo cha beef kati yeye na Qchief Alias Mugabe (Formerly was known as Savimbi) alisema chanzo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mama mzazi wa Nay wa Mitego anahisi mwanae ni mfuasi wa jamii ya siri ya freemason na ameanza kusita kupokea fedha kutoka kwake. Kwa mujibu wa mama yake, mafanikio ya haraka ya Nay yakiwemo...
0 Reactions
34 Replies
27K Views
Msanii maarufu wa Bongo Movie Elizabeth Michael "Lulu" wakati akifanyiwa interview nyumbani kwake,amesema kuwa anachukia umasikini na amedai kuwa umasikini ulipaswa kuwa sehemu ya dhambi.
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…