Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

MCHUMBA wa Mbongo Fleva , Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ , Zarina Hassan ‘ Zari ’ amedaiwa kuangua kilio baada ya kuvuja kwa picha yake na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Mzamili Katunzi ambayo...
1 Reactions
43 Replies
16K Views
Watu wanampinga sana ndugu Januay Makamba (majority vijana wale wenye roho za kwa nini)...juzi hapa ndani ya white house January kapiga story na Barack Obama kuliko hata Obama alivyoongea na...
0 Reactions
577 Replies
67K Views
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana. Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni...
0 Reactions
70 Replies
15K Views
Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na baadae kwenda kuishia nae huko Dubai. Sunday wakati huo...
5 Reactions
258 Replies
48K Views
Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ' Kidoti ' , amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz ' ambaye hivi karibuni alimwita...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
wakuu bongo kuna majembe ma 4 tu katika bongo fleva nayo ni K4REAL, JUMA NATURE,JIDE KOMANDOO NA SUGU,haya majembe ni nouma hatari yanajulikana usipimie yaani jamaa ukamua mbaya mbovu jukwaani. je...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Star wetu akiwa na gari lake jipya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
hivi wanafanya makusudi au..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo kijana wetu mpendwa, kijana anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Tasnia ya muziki katua katika jiji la masamaki yale matamu matamu, Mwanza. Kinachoonekana hapa chini kwenye picha...
1 Reactions
142 Replies
27K Views
Watu wengi ambao wamejikuta wakipata watoto wengi kwa wanawake tofauti, wanatafsiriwa tofauti kwenye jamii. Wengine wanaonekana siyo makini katika suala la kujilinda kwa maana ya matumizi ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wengine tuko mkoa, zimeendaje nimesikia tu watu wanasema Millard, Salim Kikeke, Ladyjdee, Alikiba, Wema wamekinukisha vipi uko ni kweli? Mwanamuziki wa kiume anaependwa - ALI SALEHE KIBA...
0 Reactions
356 Replies
41K Views
Katika wasanii wote waliopata tuzo, hakuna ata mtu mmoja aliyenyanyua kinywa chake na kuthubutu kulalamika kuhusu tuzo ya lady jaydee , unadhani ni kwa nini lady jaydee anapendwa? Je ana scandal...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kweli show ya Mwanza ya Diamond imewapa watu wengi homa! ------------------ MASSANJA MKANDAMIZAJI LE-MUTUZ JENNISTA BLOG LINAH SANGA DIDA :-
1 Reactions
141 Replies
18K Views
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri...
0 Reactions
83 Replies
16K Views
  • Closed
Bridal shower ilifanyika wiki iliyipita nyumbani kwa Klyn na Mengi… Mambo ya high tea…. Mambo ya kwa queen hayooo Mashosti ndo kama hivyo walinogesha...
3 Reactions
485 Replies
117K Views
Huwa nasikia kichefu chefu na kutaka kutapika nikipitia page za hawa jamaa Instagram....Hebu pitieni mpate angalau motivation jamani, lakini onyo nenda na limao usitapike bure.... Jembe ndo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
There's something cooking. Yawezekana ni muendelezo wa Alikiba kukaa vitu vilivyofutwa vumbi na Dangote Mr. Diamond Platinumz. Eti kaka Alikiba kaambiwa akikaa viti hivi na yeye nyota yake...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana JF, Luther Vandross Snr,aliyezaliwa mwaka 1919 alioana na mpenzi wake wa utotoni Mary Ida(Aliyezaliwa 1922) akiwa na umri wa miaka 27.Vandross snr na Mary walibahatika kupata watoto...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Umofia kwenu JF, Nilikuwa namuangalia Sam Misago na wageni wake ambapo mmojawapo ni msanii giggy money. Kiukweli mavazi anayovaa hayana maadili yoyote na EATV huwa wanampenda sana kumuweka, yaani...
1 Reactions
42 Replies
33K Views
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa ametibuka kutokana na ujauzito mkubwa alionao, ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…