Lady Jaydee: Mwanamuziki wa kike anayependwa zaidi

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,383
Katika wasanii wote waliopata tuzo, hakuna ata mtu mmoja aliyenyanyua kinywa chake na kuthubutu kulalamika kuhusu tuzo ya lady jaydee , unadhani ni kwa nini lady jaydee anapendwa? Je ana scandal nyingi insta na kwenye magazeti? Au kazi zake zenye ubora wa kipekee ndizo zimemfanya apendwe ? Ukipata jibu kwa nini lady jaydee anapendwa, utaelewa ninachomaanisha.

Nini kinachomfanya msanii apendwe? Kazi au scandal?

Licha ya changamoto kubwa anazokumbana nazo kutoka kwenye media flani na baadhi ya wasanii wenzake, licha ya changamoto ya ndoa yake, ila bado jide kasimama kama mwanamke kamili na bado anaendelea kuwa bora zaidi. Nani kama Jide?, wala hana mbwe mbwe dada wa watu, kabeba Tuzo yake kimya karudi zake kwake masaki na range rover yake aliyonunua kwa pesa za jasho lake sio kuhongwa, ila akina flani jamani walivyopata Tuzo mpaka kesho watu tunakoma, hakuna kitu kizuri kama kujielewa thamani yako na kuheshimu kazi yako

Lady jaydee ni kati ya wanawake matajiri wachache apa mjini, wanaoendesha maisha yao bila kutegemea wanaume, Hongera sana lady jaydee.
 
Lady jaydee akipokea tuzo
 
Attachments

  • 1432532655632.jpg
    1432532655632.jpg
    63.3 KB · Views: 407
Watu tunaendesha range rover, watu tunaishi masaki, tuna nyumba tumeipangisha mbezi hatujapamba, hahah watu na pesa zao kutafuta sio za kuhongwa, big up jidee miaka miaaaa
 
Katika wasanii wote waliopata tuzo, hakuna ata mtu mmoja aliyenyanyua kinywa chake na kuthubutu kulalamika kuhusu tuzo ya lady jaydee , unadhani ni kwa nini lady jaydee anapendwa? Je ana scandal nyingi insta na kwenye magazeti? Au kazi zake zenye ubora wa kipekee ndizo zimemfanya apendwe ? Ukipata jibu kwa nini lady jaydee anapendwa, utaelewa ninachomaanisha.

Nini kinachomfanya msanii apendwe? Kazi au scandal?

Licha ya changamoto kubwa anazokumbana nazo kutoka kwenye media flani na baadhi ya wasanii wenzake, licha ya changamoto ya ndoa yake, ila bado jide kasimama kama mwanamke kamili na bado anaendelea kuwa bora zaidi. Nani kama Jide?, wala hana mbwe mbwe dada wa watu, kabeba Tuzo yake kimya karudi zake kwake masaki na range rover yake aliyonunua kwa pesa za jasho lake sio kuhongwa, ila akina flani jamani walivyopata Tuzo mpaka kesho watu tunakoma, hakuna kitu kizuri kama kujielewa thamani yako na kuheshimu kazi yako

Lady jaydee ni kati ya wanawake matajiri wachache apa mjini, wanaoendesha maisha yao bila kutegemea wanaume, Hongera sana lady jaydee.
Mi nimependa hapo kwa RED sentensi uliyotumia busara zako zote kuiandika,japo tuzo zenyewe ziliwaachia watu kupiga kura zaidi ya x 10,000 kwa kifupi hazikuwa na kikomo cha kutuma sms
 
Wapi kwenye red? Sijapaona, rekebisha nione please
 
Ngoja nami msiasa niseme hapa....ladyJd ni bonge la Mwanamke anaijua thamani yake na Watz wanaijua pia.

We warumi hebu njoo tuimbe Machozi hapa! baridi kali Mby miezi hii..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Ana pesa zake na maisha yake mazuri wala hatuletei fujo mjin, ila wale wenye pesa za kupewa sasa izo fujo kwa kweli mmh hapana

hanaga makuu dada wa watu na kenya wanamkubali sn...nmeona jana anapohojiwa willy tuva anasema wanaamini jide ndie msanii wa kike tajiri east africa anaeongoza...ila yuo kimya no mashauzi
 
Sema nabii hakubaliki kwao, ila jide ni nomaa
 
Back
Top Bottom