Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni ukweli ulio wazi kwamba umefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuvuka changamoto ya kuupeleka mziki wako ukubalike nje ya Tanzania. Hivi sasa mpenda muziki yeyote Africa anajua muziki wako na...
4 Reactions
90 Replies
8K Views
Katika gazeti la leo la Mwanaspoti 29/05 huyu Wema ametoa kauli za ajabu kabisa kuhusu Kajala. Anasema hatokaa kumsamehe katika maisha yake yote na hata akifa Kajala asisogelee kaburi lake...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Bado anakataa kutaja umri wake licha ya mtangazaji na wasikilizaji kutaka ataje ila kagoma anadai ni maisha yake binafsi
0 Reactions
66 Replies
54K Views
Kwa muda mrefu msanii AY hajatoa wimbo mkali levo za Zigo, huu wimbo ni noma aisee, club banger haswaa sichoki kuusikiliza, namshauri awe siriaz kwenye video unaweza kumfikisha mbali, ikiwezekane...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Unamkumbuka yule jamaa wakati timu ya taifa ya Brazil imekuja Tanzania kucheza na Taifa Stars aliingia katikati ya uwanja na kumkumbatia mchezaji KAKA wakati mechi ikiendelea? Yule ndo boyfriend...
1 Reactions
115 Replies
30K Views
Christian Bella anaamini kuwa kikwazo cha wasanii wengi kukua kutokuwa na management. Bella ameiambia Bongo5 kuwa kila msanii ana lengo la kwenda mbali zaidi lakini tatizo lipo kwenye management...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu nipo naangalia taarifa ya habari citizen tv ya kenya naona imeanza kwa mbwembwe za hatari coz fid yupo ndan ya mjengo na kachana ngoma ya cnn aliyoshirikishwa na marehemu ngwair...rip cowboy
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanamuziki Aslay Isihaka kutoka katika kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi kuwa anasumbuliwa sana na watoto wa kike ndiyo maana ameamua kuweka mahusiano yake wazi, Aslay alifunguka...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
A game of two (other) halves! Newcastle footballer Papiss Cisse leaves girlfriend for holiday... and three days later marries Senegalese volleyball player fiancée in Paris Rachelle Graham says...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Said Fela amemkabidhi Mheshimiwa Temba nyumba yake ya pili. Rapper huyo wa TMK Family, amesema kuwa nyumba aliyokabidhiwa na Fela imepatikana kutokana na mauzo ya kazi zake za muziki ndani ya TMK...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
jamani ile ndoa tuliyoambiwa ingefungwa mwezi may kati ya mond na zari imeishia wapi? au ndo mambo ya kutafuta kiki? maana imekua kimyaaaaaaa
0 Reactions
41 Replies
6K Views
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny' amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond' ni kama chizichizi lakini kwa undani zaidi ni mtu...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Lile bifu lililowahi kutokea kati ya muigizaji maarufu, Lulu Michael na video queen maarufu nchini Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo ivi sasa muigizaji huyo ameibuka hadharani na kumtaka...
0 Reactions
71 Replies
13K Views
Katika kuonyesha kazi za Nasibu Abdul aka Diamond aka Chibu zinakubalika kona zote na watu mbali mbali maarufu, striker nguli wa Manchester City amepost video kwenye Instagram page yake akimwaga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tukiwa tunaendelea na shamra shamra za kuadhimishwa miaka 38 ya CCM yanayofanyika kitaifa mkoani Songea ktk uwanja wa Majimaji na mgeni rasmi akiwa prof. Jakaya Mrisho Kikwete, Umati wa watu...
1 Reactions
75 Replies
11K Views
Hahaa demu wa zaman ama kingast wa mziwanda amesema usiku wa jana aliletewa WATU WAKAMPIGA SANA ATOE MIMBA ya mziwanda. Wamemchukulia simu na begi ameapa atamzalia mtoto na hii mimba ya...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kwa wale wafuatiliaji wa video za wasanii wa Bongofleva utagundua kuwa wanatumia gharama kubwa kuziandaa sio chini ya milioni 300 na kuendelea lakini wasanii hawa hawa wanaishi maisha duni na ya...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ' Lulu ' anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni...
2 Reactions
43 Replies
11K Views
BAADA ya kuzagaa kwa habari kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ' kutembea' na mrembo wa Bongo Movies , Kajala Masanja , Mheshimiwa huyo ameibuka na kuzungumzia tuhuma hizo kuwa...
0 Reactions
54 Replies
13K Views
Back
Top Bottom