Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn, lakini kupitia Tuzo za Watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu. K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama...
0 Reactions
90 Replies
12K Views
This is a love and hate type of sh*t. Wema Sepetu amekiri kuwa upande wa Alikiba lakini bado anazipenda nyimbo za mpenzi wake wa zamani, Diamond. Unakipata kizungumkuti cha kauli hiyo sio? Hivi...
4 Reactions
354 Replies
45K Views
Nimeshangaa kwenye moja ya news inayotembea hivi hii ipo vip au ndio limelipukaa?
0 Reactions
97 Replies
15K Views
Sielewi jamani ndoa ya boss wetu iliyofungwa kwa mbwe mbwe zote, ambayo ata hivyo kanisa walilofungia na Huyo mume wake mpaka kesho imebaki kuwa tamthilia ya Isidingo. Mama ubaya vipi? Au bado...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung' aa kwenye vyombo vya...
0 Reactions
74 Replies
21K Views
Kundi maarufu la vichekesho nchini la Olijino Komedi sasa limeamua kuingia kwa nguvu katika biashara ya kilimo. Wasanii hao wamekabidhiwa Matrekta saba aina ya Sonalika DI 50 RX na Kampuni ya...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani nimepitiwa jana ndo naona beef la Designer wa Augustino na Q boy msafi aliyemtia doa Mondi Kwa skendo ya ku copy and paste Design za watu. Nimegundua huyu dogo hana Sifa za kuwa designer...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MALKIA anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production , Wema Isaac Sepetu na Mshindi wa Big Brother Africa 2014 /15 , Idris Sultan ambao wamekuwa marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
MWANAMUZIKI DIAMOND ADAIWA KUWATELEKEZA WATOTO SHULE, AKWAMA KUWALIPIA ADA, NI WALE WALIOSHINDA KUCHEZA NGOLOLO NA KUAHIDI KUWASOMESHA: KABANG! Staa anayevuna fedha nyingi kupitia kipaji chake...
0 Reactions
188 Replies
21K Views
We all know kwamba hawa jamaa wa secret societies huwa wanaitumia hollywood kuonyesha plans zao za future kwa mfano 9/11 ilishaonyeshwa sana kwenye movies years ago hata movie kama tommorow land...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Beautiful Onyinye wa Bongo , Wema Sepetu amefunguka kuwa , anajua siku zote yeye hana bahati ya kuwa na marafiki kwa kuwa hata akiwa nao mwishowe kunatokea mgogoro na kuachana huku kila mmoja...
1 Reactions
229 Replies
31K Views
Okay shemeji wifi yetu naona yuko na Mr not Laiti. .ila sielewi kama ndo ze project hau Hii ni genuine ..maaana mujini siku hizi project nyingi mno
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Okay shemeji wifi yetu naona yuko na Mr not Laiti. .ila sielewi kama ndo ze project hau Hii ni genuine ..maaana mujini siku hizi project nyingi mno
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Super star kiwango anayetikisa East Africa kwa sasa , zarinah hassan aka bossy lady, amefunguka kuhusu scandal ya usagaji iliyomtafuna miezi michache iliyopita, akizungumza kupitia kipindi cha...
2 Reactions
61 Replies
14K Views
KUFUATIA kuibuka kwa habari ya msanii nguli , Blandina Chagula ' Johari ' kubeba mimba na kujifungua kwa siri hadi mtoto kufikisha umri wa miezi 7 na kuripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti...
1 Reactions
59 Replies
11K Views
Bila shaka unamfahamu Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Huyu jamaa ni mmoja kati ya wanamuziki wakongwe nchini, ameanza kuimba nyimbo za Bongo Fleva tangu mwanzoni mwa miaka...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa , mwigizaji wa kitambo Bongo , Blandina William Chagula ‘ Johari ’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa...
3 Reactions
138 Replies
25K Views
The Tanzanian music superster as he calls himself the Rolls royce musician from East Africa Diamond platnumz has continues prooving that fame and love are seen and not rumored around, Recently...
7 Reactions
26 Replies
5K Views
Mbunifu wa mavazi toka Marekani anaeitwa Roper amelalamika sana kupitia Instagram kwamba Diamond kamuibia design yake... roper anayewavalisha wasanii wakubwa Marekani kama August Alsina, Future...
4 Reactions
109 Replies
23K Views
Mjengo anaoishi mkali wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya Chekecha Cheketua , Ali Saleh Kiba uliopo Kunduchi- Mbezi Beach jijini Dar , unadaiwa kuzua utata mkubwa hivyo kulilazimu kuchimba...
0 Reactions
112 Replies
20K Views
Back
Top Bottom