Kwa wale wafuatiliaji wa video za wasanii wa Bongofleva utagundua kuwa wanatumia gharama kubwa kuziandaa sio chini ya milioni 300 na kuendelea lakini wasanii hawa hawa wanaishi maisha duni na ya...
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ' Lulu ' anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni...
BAADA ya kuzagaa kwa habari kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ' kutembea' na mrembo wa Bongo Movies , Kajala Masanja , Mheshimiwa huyo ameibuka na kuzungumzia tuhuma hizo kuwa...
Habari zenu,
Nasikia kuna bifu la Diamond Platnumz na Kiba na wengi huwa wanalishabikia sana ila ukiuliza chanzo cha bifu lao ni nni hakuna hata shabiki mmoja atakae kujibu maana hawajui. Anyway...
Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn, lakini kupitia Tuzo za Watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu. K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama...
This is a love and hate type of sh*t. Wema Sepetu amekiri kuwa upande wa Alikiba lakini bado anazipenda nyimbo za mpenzi wake wa zamani, Diamond. Unakipata kizungumkuti cha kauli hiyo sio? Hivi...
Sielewi jamani ndoa ya boss wetu iliyofungwa kwa mbwe mbwe zote, ambayo ata hivyo kanisa walilofungia na Huyo mume wake mpaka kesho imebaki kuwa tamthilia ya Isidingo.
Mama ubaya vipi? Au bado...
Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung' aa kwenye vyombo vya...
Kundi maarufu la vichekesho nchini la Olijino Komedi sasa limeamua kuingia kwa nguvu katika biashara ya kilimo.
Wasanii hao wamekabidhiwa Matrekta saba aina ya Sonalika DI 50 RX na Kampuni ya...
Jamani nimepitiwa jana ndo naona beef la Designer wa Augustino na Q boy msafi aliyemtia doa Mondi Kwa skendo ya ku copy and paste Design za watu.
Nimegundua huyu dogo hana Sifa za kuwa designer...
MALKIA anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production , Wema Isaac Sepetu na Mshindi wa Big Brother Africa 2014 /15 , Idris Sultan ambao wamekuwa marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni...
MWANAMUZIKI DIAMOND ADAIWA KUWATELEKEZA WATOTO SHULE, AKWAMA KUWALIPIA ADA, NI WALE WALIOSHINDA KUCHEZA NGOLOLO NA KUAHIDI KUWASOMESHA:
KABANG! Staa anayevuna fedha nyingi kupitia kipaji chake...
We all know kwamba hawa jamaa wa secret societies huwa wanaitumia hollywood kuonyesha plans zao za future
kwa mfano 9/11 ilishaonyeshwa sana kwenye movies years ago hata movie kama tommorow land...
Beautiful Onyinye wa Bongo , Wema Sepetu amefunguka kuwa , anajua siku zote yeye hana bahati ya kuwa na marafiki kwa kuwa hata akiwa nao mwishowe kunatokea mgogoro na kuachana huku kila mmoja...
Super star kiwango anayetikisa East Africa kwa sasa , zarinah hassan aka bossy lady, amefunguka kuhusu scandal ya usagaji iliyomtafuna miezi michache iliyopita, akizungumza kupitia kipindi cha...
KUFUATIA kuibuka kwa habari ya msanii nguli , Blandina Chagula ' Johari ' kubeba mimba na kujifungua kwa siri hadi mtoto kufikisha umri wa miezi 7 na kuripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti...
Bila shaka unamfahamu Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi Sugu. Huyu jamaa ni mmoja kati ya wanamuziki wakongwe nchini, ameanza kuimba nyimbo za Bongo Fleva tangu mwanzoni mwa miaka...