Hivi na nyie mnamfagilia sana Stan Bakora?

dogo_mjuaji

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
224
0
Katika wasanii wanaojiita ma wachekeshaji sio kama Stan Bakora anastahili, mbona me hata hajawahi kunichekesha.

Nadhani hana kipaji ile umaarufu ni wa kutengeneza tu ukichangiwa na kick.

Au mwenye kazi zake ambazo anahisi nitapagawa nazo nimkubali anirushie kwa whatsapp 0653610047.

Shukrani wakuu

Hongera mashujaa wetu siku ya mashujaa Tanzania
.
 

youngdonats18

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
687
500
Ni mchekeshaji wa mastaa wa kike,bongo so kama akizungumza usipofurahishwa Jua umeipwelepweleta iyo chekesho ake so we komaa na majuto,ama nin!!?
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,406
2,000
Duh maisha yako kasi sana na bila unafiki hayaendi tehee tehee na bado unaomba vichekesho vyake utumiwe.
 
Top Bottom