MAJANGA juu ya majanga! Siku chache kufuatia kufanyiwa kipimo na kubainika kuna tatizo kwenye ubongo baada ya kupigwa chupa kichwani kwenye Klabu ya New Maisha, Masaki jijini Dar, mkali wa...
Staa wa filamu za Kibongo Wastara Juma, ameibuka na kusema kuwa wanasiasa wanawatumia wasanii wakiwa na shida zao lakini wakishapata uongozi huwasahau na kuwaona ni wasumbufu pale wanapohitaji...
Bi Mwenda ni mzaliwa wa Mara Wilaya ya Bunda kijiji cha Ikwizu Nyamuswa, ni mtoto wa Mtemi Makongoro, ambaye alikuwa rafiki na ndugu wa yamini na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anasema katika...
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu nchini humo, Wema Sepetu aliongozana na...
Inaonekana mwanadada alikanyaga miguu ya wasiopenda kuzenguliwa, kuna siku alimchana ma mvi siku nyingine akasema yule kijana anayekusanya ushuru Ubungo anayeishi South Africa anauza unga wa...
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa...
there are some very rich people hapa duniani, yani anapeperusha milioni milioni 200 kwa siku moja tu :teeth::thinking:
=======================================
<header> KIM KARDASHIAN...
Kuna baadhi ya watu maarufu ndani na nje ya bongo wenye majina makubwa kabisa lakini kazi zao ni kidogo au hazieleweki au hazilingani na uzito wa majina yao ktk jamii.
Kwa mawazo yangu nitalist...
Mara nyingi mwanaume huyu mwenye uzuri unaofanya watu waombe hata kuzaa nae huko Insta hamjawah kumsikia ana mahusiano yoyote ila hivi karibuni imebainika anamahusiano na aliekua video queen wa...
Baada ya hivi karibuni, staa na mwanamuziki mkongwe nchini, Ray C, kupitia ukurasa wake wa instagram, kupost picha ya baba mlezi wa mwanamitindo maarufu Kim Kardashian, Bruce Jenner (Caitlyn )...
Jennifer Lopez played a gig in front of 160,000 people at the Mawazine International Music Festival in Morocco on Friday and her performance caused quite a stir. Unfortunately for Lopez, it was...
Who are the richest people in Tanzania? Or who are the wealthiest people in the republic of Tanzania? Are some of the many questions asked by the people of Tanzania who want to know the kind of...
Watanzania tumeanza kutembea kifua mbele kwamba mziki wetu umekua hadi tunaanza kujiona tunaenda levo za wanigeria wakati si kweli.
Kwa mtazamo wangu naona bado sana, coz hadi sasa hivi msanii...