Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

Complex Minder

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
534
160
Mara nyingi mwanaume huyu mwenye uzuri unaofanya watu waombe hata kuzaa nae huko Insta hamjawah kumsikia ana mahusiano yoyote ila hivi karibuni imebainika anamahusiano na aliekua video queen wa (nje ya box) yake Joh Makini

Mwanadada huyo mwenye mvuto wa kutosha na shepu matata ajulikanae kama Halima amedumu katika uhusiano huo kwa miaka miwili na mwanandani wake huyo Rammy Galis.

Wasiomjua kijana huyu ni Bongo Movie aliecheza vizuri katika 'Chausiku', Zakayo iliyopo sokoni, na nyingine nyingi..
 
Attachments

  • 1433763880408.jpg
    1433763880408.jpg
    24 KB · Views: 1,776
  • 1433763924402.jpg
    1433763924402.jpg
    23.6 KB · Views: 1,813
  • 1433763943176.jpg
    1433763943176.jpg
    20.2 KB · Views: 1,768
  • 1433763964881.jpg
    1433763964881.jpg
    17.3 KB · Views: 1,626
  • 1433763996592.jpg
    1433763996592.jpg
    47.4 KB · Views: 2,126
  • 1433764023583.jpg
    1433764023583.jpg
    14.9 KB · Views: 1,617
  • 1433764051248.jpg
    1433764051248.jpg
    22.9 KB · Views: 1,907
Mhhhh haya bwana kila la kheri kwao

HUyo dada mbona ana sura ngumu ivyo? Shepu anayo ila sura hapana kwa kweli, huyo rammy chausiku ndo anamfaa wengine anatafuta ugonjwa wa moyo, jmaa mwenyewe yupo kama zezeta tu
 
Ila ni mzuri kiujumla na hapa mjini atasumbua sana tu.
Hahahahahaa, binamu unasema huyo jamaa ni kama zezeta? ..lol
Ila namuona kama ana asili ya kisomali labda ndio maana wanamsifia/kumpapatikia.
 
Hahahah warumi ila kweli sura ake sio ila shepu yuko kama zezeta
 
Ila ni mzuri kiujumla na hapa mjini atasumbua sana tu.
Hahahahahaa, binamu unasema huyo jamaa ni kama zezeta? ..lol
Ila namuona kama ana asili ya kisomali labda ndio maana wanamsifia/kumpapatikia.

Ila huyu kaka katulia sana sijawahi sikia anamahusiano na mtu
 
HUjawahi kusikia nn? HUyu jamaa malaya kiama, juzi tu katoka kuchambwa kule insta na tabia yake ya umalaya, anawaita wadada uko kijijin anawadanganya atawachezesha movie, anawap script akishawafanya tu haonekan anakutosa, jamaa ana sura ya upole ila ni chui huyo hafai
 
Ww walimvumishia bana siunajua wabongo hatuchelewi kuchafua
 
Huyo jamaa nimeona madem wakipost picha zake nilikuwa simfaham nilidhnai wa huko mbele kumbe wa Hapa Hapa bongo
 
HUjawahi kusikia nn? HUyu jamaa malaya kiama, juzi tu katoka kuchambwa kule insta na tabia yake ya umalaya, anawaita wadada uko kijijin anawadanganya atawachezesha movie, anawap script akishawafanya tu haonekan anakutosa, jamaa ana sura ya upole ila ni chui huyo hafai

atakua na kibamia halaf wanaume wazuri huongoza kwa vibamia
 
HUyo dada mbona ana sura ngumu ivyo? Shepu anayo ila sura hapana kwa kweli, huyo rammy chausiku ndo anamfaa wengine anatafuta ugonjwa wa moyo, jmaa mwenyewe yupo kama zezeta tu

Hahaaa warumi umeona ka mimi Dada ana shape ya hatari ila reception ngumu aisee. Mwanamke sura shape hata kwa mchina unapata.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom