⚫Tayari ni ICON wa taifa
⚫Kila mtu amekuwa inspired na diamond, wote wasanii na mashabiki wa muziki kwa ujumla, na tunaona wasanii wanazidi kujiongeza kisanii na kibiashara pia
(Baadhi ya mifano hai Christian bela the king of the best melodies amekiri hapa juzi hakuna mwanamuziki Tanzania hii asiyependa kufika alipo diamond platnumz,, Tunaona kipaji kinachokuja kwa kasi baraka da prince, ambaye amekiri kupata ushirikiano kutoka kwa wazazi wake hasa baba baada ya kuona mafanikio ya diamond)
⚫Tumepiga kura na Wasomi (kutoka chuo bora zaidi Afrika mashariki kwa sasa) wameona Hakuna ubishi hata chembe kwamba DIAMOND ni most inspiring MUSIC ICON