Habari wana Jf
Hivi kuna hii tabia ya watu tofauti kuchanganya wadhifa wa watu bila kujitambua.
Ni nini hasa tofauti kati ya superstar(staa) na celebrity(mtu maarufu).
Nahisi itasaidia wengi...
Niwapongeze wasanii Aunt Ezekiel, Jackie Wolper, Shamsa ford na Nay wa mitego kwa kuunga mkono mabadiliko katika nchi yetu.
Si jambo ndogo kuacha rushwa na vitisho vya CCM na kuunga mkono...
Muimbaji wa kundi la Rock la U2 na mwanzilishi wa One Campaign, Paul David Hewson maarufu kama Bono amewakutanisha wasanii wa Afrika wakiwemo Diamond, Banky W, D'Banj, Omotola, Waje na wengine...
Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo...
Nimeanza kuona weusi na Vanessa wanatumia resources kibao kujitangaza AFRICA ila mimi kwa mtazamo wangu naona ni ngumu. MOJA YA SIFA YA MALENGO NI KUWA Lazima yawe ACHIRVABLE( yawe...
Wanajamvi naomba mwenye taarifa na mahali alipo mtangazaji wa zamani wa vipindi vya muziki katika televisheni ya CTN Rahma Aziz. Ni mmoja wa watangazaji wachache wabunifu katika vipindi vya muziki...
Nyumba ya msanii Batuli aka Cleopatra yaungua moto akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni. Hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa hakuambulia kitu chochote.
========
Msanii wa...
The next James Bond could be black or gay, argues 007 veteran Pierce Brosnan.
Sure. Why not? the Irish star was quoted as telling mens magazine Details when asked if he could picture a gay...
Nlikua shabiki mkubwa sana wa bwana mdogo diamond ila kwa post yake ya kikabila leo nimemdharau sana. ..ckatai yy kushabikia CCM Bali maneno yake yanaweza kuwa na impact kubwa sana kwa jamii yaje...
Habari wakuu!
Muda huu nipo hapa chaderz records Dar, Nimepata upenyo wa kusikiliza Audio ya Wimbo wa Alikiba x Christian Bella, kwakwel kama ni kufuru basi hii ni zaidi ya laana, kama ni dharau...
Nasema mmejiita kioo cha jamii kwa sababu sijaiona taarifa rasmi inayosema ninyi wasanii wa muziki, filamu etc ni kioo cha jamii.
Kwa mbali sana ningeweza kuelewa wanariadha au wacheza mpira wa...
Habari wakuu! Mpaka sasa hizi ndo jumla ya collabo za Alikiba zilizokamilika na zilizopo jikoni.
1.Christian Bella X Alikiba
Jina la wimbo ni "Nagharamia"
Owner wa collabo wote 2 Bella na...
Verse 1(Delvin):Nakuomba Nerea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
(Bien):
Huenda...
Nimesikitishwa Sana kusikia king kiba nae atakuwemo kwny kampeni za ccm kwann umewafanyia ivyo mashabiki zko je ni na ww unadhiki km wale wasanii wenzako je ni tamaa ya fedha au ndo uhaba wa...
Hifadhi ya taifa Diamond platinumz amepewa shavu kuwepo katika kampeni ya The Global Goals ambayo inahusikana na vita ya kutokomeza umasikini, njaa, maradhi na matatizo mengine katika bara la...
BARUA YA WAZI KWA MAMLAKA HUSIKA ZOTE, JUU YA SWALA LILILOMKUTA SHILOLE KWA KITENDO CHAKE CHA KUONEKANA AKIWA ANATUMBUIZA NCHINI BELGIUM HUKU SEHEMU ZAKE ZA MWILI ZIKIWA NJE MIEZI KADHAA...