Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ameyaoga matusi ipasavyo kama picha ijielezavyo!
3 Reactions
102 Replies
19K Views
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaaa, Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataaa, Usio hiana fedhuri uongo umekujaaa, Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa, Aagah...
0 Reactions
40 Replies
13K Views
Hii imetokana na video Diamond aliyeyoipost Instagram ikimwonyesha Jokate akikata mauno club huku nyimbo ya Diamond (mdogomdogo) ikipigwa... Diamond aliandika na caption #Mbona bado, mtanyooka...
2 Reactions
108 Replies
25K Views
And the winner is @diamondplatnumz for Artist of the Year #AfricanAchieversAwards Salaam SK @Sallam_SK Tunamshukuru Mungu anazidi kudhihirisha kilicho bora kwa vitendo,Africa inatambua juhudi...
9 Reactions
166 Replies
18K Views
I'm just assuming. Davido ameshajua market ya Tanzania na East Africa liko kwa hawa hasa kwa upande wa mashabiki pengine anaweza akawa mtu wa kwanza kuwashirikisha pasipo wao kujua au hata wakawa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wasalaam wanajamvi! Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura...
7 Reactions
177 Replies
19K Views
Jisong pale ni pambee tyu huyu leyla rashid anajua kuimba isha mashauz na bi khadija kopa wakasomee
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wadau hawa warembo wetu wa Bongo Movie, Irene Uwoya na Jaqueline, nani mrembo zaidi ya mwenzake? Ki mvuto, thamani katika jamii. Tunguke hapa nani anamzidi mwenzake katika nyanja tofauti? My...
2 Reactions
97 Replies
42K Views
Jamani leo naomba mnisaidie kwenye hili jambo, kuna kasumba ya watu kujadili mambo mengi sana mpaka maumbile au viungo vya baadhi ya macelebrity hapa nchini. Mfano, wengi tushasikia mjadala juu...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Umofia kwenu wana JF, Ray ameshangazwa sana na baadhi ya wasanii kama kina JB na wengine kuinua sanaa ya sinema, tofauti na alivyotegemea. Namnukuu "Thus why I'm so wonders, yaani nimeshangaa"
1 Reactions
42 Replies
8K Views
∆Tunaambiwa kilasiku tujitahidi kupunguza maadui na sio kuwaongeza, Diamond kafanya hivyo mwakahuu, na kilichonifurahisha zaidi kapatana na wale watu wote wenye mchango mkubwa kwenye...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Tanzania is once again paving through the way of success in the music industry through it's popular musician Diamond platnumz, Success isn't talked but seen, this can be seen crystal clear in the...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Katika wasanii wanaojiita ma wachekeshaji sio kama Stan Bakora anastahili, mbona me hata hajawahi kunichekesha. Nadhani hana kipaji ile umaarufu ni wa kutengeneza tu ukichangiwa na kick. Au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hatari sana Davido kaelewa somo.
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni muda mrefu sana sasa sijamsikia akitangaza na kwa bahati mbaya sijawahi kusikia chochote kumhusu. Je, kuna mwenye kujua alipo kwa sasa na anafanya nini?
0 Reactions
17 Replies
13K Views
This is something else ..
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School...
2 Reactions
124 Replies
16K Views
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65. Huyu dogo anahitaji ushauri
1 Reactions
66 Replies
31K Views
Wakati watu leo wako bize kuthrowback ishu mbali mbali ghafla nimemkumbuka mkali wa hizi kazi,Kibra Msitu wa vina a.k.a Juma Nature. Nakumbuka mara ya kwanza namuona anachana kipindi hiko mie...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…