Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jamani Mnaona Watoto Wa Wakukubwa Wanvyo Rithi Ufisadi, Hebu Anagalia Ubungo Terminals Ya Mabasi Ilivyochakaaa , Harafu Cha Kushangangaza Ni Kwamaba Kinje Anakula Kuku Tu, Mbabe Yeye Ukimwambia...
0 Reactions
60 Replies
16K Views
Msanii wa kimataifa Wizkid anategemea kufanya show ya kufa mtu siku ya 31 October 2015 show itwayo Wizkid in Dar katika viwanja vya leaders club. Hii pia ni fursa kwa wasanii wa bongo fleva...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
m.soundcloud.com/see-the-africa…
0 Reactions
4 Replies
2K Views
King of Afro pop in Africa and mult winner Artist Alikiba (KingKiba) hatimaye andelea kuonesha uwezo wake na kudhihirisha kuwa yeye ndiyo baba na mama wa mziki mzuri. Wimbo huu ulioleak unaitwa...
2 Reactions
92 Replies
11K Views
Jamani mimi ni msanii chipukizi nilikua nataka ni shoot video na ninataka nimtumie bibie SEPETU kama video queen then nitamlipa baada ya kuuza wimbo wangu MKITO,so kama kuna mtu anaweza nihook up...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Duh!! Huyu Jamaa Noma sana!
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni. Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za...
5 Reactions
142 Replies
20K Views
MTV Base (DStv channel 322) today revealed that Diamond Platnumz is the winner of the 2015 MTV EMAs Best African Act.Scores of music fans visited mtvema.com to vote for Diamond Platnumz, who beat...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Dogo big up
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi yule mganga wa diamond aliishia wapi jameni? naye ni celebrity ujue, tangu siku ile naona kimya no updates kwenye magazeti pendwa hata radios.Mwenye taarifa/updates zake atujuze nmemkumbuka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Alishinda kama msanii anaependwa zaidi Africa na nyimbo inayopendwa zaidi africa ya NANA kwa mwaka 2015. Kijana sasa atarejea nyumbani na tuzo 5 kutoka Marekani. Nahakika mwaka huu hatausahau kwa...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse. Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa...
0 Reactions
188 Replies
23K Views
Kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa...
1 Reactions
131 Replies
17K Views
Daaaaahh huyu jamaa ni wa Uganda. Anatambulika kimataifa na ameshapata tuzo kubwa za BET na MTV. Ni mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Uganda aliyekuja kuwafunika Bebe Cool, Radio&Weasel...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Leo akiwa Chato kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM,amepanda jukwani kuwarubuni mashabiki wake kwa tungo za kuipamba CCM. Kwanza niseme kuwa,huyu bwana nilikuwa ninamheshimu sana...
3 Reactions
161 Replies
22K Views
Ni maneno ya King of all bongo social media LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys I love music na ninaujua music sibahatishi ninajua kupiga vyombo vya music I have been DJ all my life...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
King of Afropop aliyeibuka kinara siku ya jana baada ya kuwagaragaza wasanii wenzake na kuibuka na ushindi wa hattrick yaani tuzo tatu huko dallas nchini marekani, aliamua kufunguka kuhusiana na...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Muimbaji huyo aliyeshinda tuzo tatu za Afrimma Jumapili hii ameiambia ya XXL ya Clouds FM kuwa amefanya hivyo kwa sababu mafanikio yake yanachangiwa na mtoto wake huyo. “Unajua ilikuwa ni moja...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kifo cha mtafsiri wa filamu DERICK MUKANDARA RUFUFU "rufufu"
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mamu (yule wa ulaya) na Kiba na Jokate Hii ilidakwa insta wafuasi na Mamu wakionyesha kuwa bado yupp kwenye picha aaaaggghhh Hii juzi walipoamua kujionyesha na pozi za kuiga ila...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…