Sitegemei Diamond Platnumz kumwacha Lowassa Safari yetu

Xperience

JF-Expert Member
Dec 8, 2012
278
51
Jamaa awe mzalendo atuonyeshe maturity. Kama Arusha alitumbuiza kumtambulisha Lowassa na huku Ukawa atufate
 
Diamond ni mfanya biashara mkuu, hatabww ukitaka kumuita kwenye kitchen party yako atakuja tu ili mradi salio lisome.
 
Diamond wapi alikwambia alienda kupiga show kisiasa, mwacheni Chibu avute pesa zzake hata wewe ukitaka hata chama cha waliolala pesa ipo mwiteni atakuja.

muache kutaka kumsingizia mambo na kuchangany na kazi, yeye ni mwanamuziki akipata kazi anaenda ya chama anayajua rohoni ukitaka mvizie siku anaenda kupiga kura mfate kwenye bega uone anachofanya.

mumuache kabisaaaa anapendwa na miziki yake na anaitwa na anvuta pesaaaaa akimaliza anarudi hm anaogeleaaaaaa hadi raha
 
Mchukueni Shilole.
Diamond is never on the loosing side.
 
Back
Top Bottom