Ni kama Msanii Mr.Nice kwenye Bongo fleva.
Potezewa mbali kule.
Alafu rekebisha lugha hapo.
Sio mbunge aliyemaliza muda wake bali ni mgombea aliyetoswa na wananchi.
Ha ha ha watu mna mambo?Yupo tu anainvite watu katika facebook...afanye nini sasa.
Hahahahha Masha bana Nikiangalia haya mahojiano yake huwa nacheka san
- Alisema Kifupi na kihistori mwanza hakuna upinzani
- Alisema kifupi tayari yeye ni mbunge
- Alisema atasaidiana na mwenzake Ngeleja kuwasaidia wagombea ubunge wenzake wa CCM mkoa wa mwanza. Kumbe yeye ndo alikuwa anahitaji msaada teh teh teh
halafu ukishajua alipo?