Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kuna wanamuziki wengi wakali sana mf.twenty percent,belle9,quchilla,ben paul nk. waigizaji wakali sana kina bi.star,muhogo mchungu,kina senga na wengine weng yaan huwa hawaonekan kwny tuzo lkn...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Dah Charlie alijua Ana a HIV one year a go .Ame date wanawake kibao . Amesema kafanya mapenzi na wanawake 5000 including Lindsey lohan , Kim kardashian .Hapa ngoma wataicheza
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Bongo5 imemtafuta mtu wa karibu kwenye uongozi wa Alikiba kutaka kujua kile ambacho wanahisi msanii wao anafanyiwa na wengi hawavijui. Mtu huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe, alidai kuwa kuna...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Top 10 Wasanii wa Bongofleva matajiri mwaka 2015.. Kama kuna kitu ambacho unaweza kukitofautisha wakati mziki wa bongofleva unaanza hadi leo basi bila shaka ni thamani ya mziki ho kuongezeka mara...
1 Reactions
22 Replies
18K Views
baada ya wema sepetu kuisaidia ccm kupata ushindi,sasa ni zamu yake yeye na mwana fa kupewa ubunge wa viti maalumu ama kwa hakika magufuli ataweka historia mpya na vijana watafurahi sana maana...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mastaa wanaofanya poa kunako game ya film bongo, Aunty Ezekiel pamoja na wema sepetu ,hivi karibuni wanadaiwa kupatana baada ya bifu la muda mrefu kutokea hapo nyuma, hata hivyo baadhi ya...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Madai mazito ! Siku chache baada ya kubainika kuwa uwezekano wa mzazi mwenzake na ?kichaa ? wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond Platnumz ?, Zarinah Hassan ?Zari The Boss Lady? kurudi Bongo na...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Chibu katika ubora wake!!! Tuzo alizoshinda ni... 1. Mwimbaji bora wa Afrika 2. Mwimbaji bora wa Afrika Mashariki 3. Wimbo bora Afrika (Nasema Nawe) Vanessa Mdee amenyakua tuzo ya Best Artist...
3 Reactions
60 Replies
11K Views
MAHASIMU wawili katika anga la mastaa , Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wiki iliyopita walikwepana na kushindwa kusalimiana, licha ya wote kuwa waalikwa katika hafla maalum ya kujipongeza iliyofanyika...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Matokeo ya Tuzo za @KTMA kuanzia Mwaka 2013-2015. 2013-Mwaka wa 20 percent alipata Tuzo 5. 2014-Diamond Platnumz alishinda tuzo saba(7). 2015-Ali Kiba alishinda tuzo 5. Kwa hiyo inaonekana...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Kiba sikia nikwambie bro kwenye ukweli tutazungumza, ww na diamond wote ni wasanii wazuri ila usijekudanganyika kuambiwa ww ni bora zaidi ya diamond, jamaa kakuacha mbalii sn aseee! Uliwai...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ule usiku ulio kuwa Una suburiwa kwa hamu kubwa na wa afrika wote umekaribia nazo ni tunzo za afrima awards zitakazofanyika Lagos, Nigeria jumapili hii ya tarehe 15.11.2015 wasanii watakaoshiriki...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Hawa Jamaa ni kati ya wasanii wakali sana katika tasnia ya vichekesho apa nchini ata original komedi wanakaa . Wanaubunifu na upangiliaji mzuri wa matukio au vipengele mf. Aisee kama....,cha...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
katika hali isiyo ya kawaida wasanii wameendelea kupata walichokuwa wanakitafuta baada ya Emmanuel Mgaya kuungana na Uwoya kuisoma namba. Masanja aliyedhania Ubunge ni kazi rais kama kufanya...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kushare na followers wake wa Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha, kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video models wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa kikongwe, bado nyota yake itaendelea kung?aa siku zote wala haitafifia kwani amezaliwa nayo labda...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Hakika mmejionea wenyewe na kutambua ccm inawenyewe kazi kubwa mlioifanya mmelamba jike ata yule ndugu yenu uwoya aliyepita tabora kachapwa bakora sasa jikiteni kwenye filamu zenu mfano mzuri...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Zarinah Hassan a .k .a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ?hirizi?, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo . Mtoto wa...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba umaarufu wake ni kama haufi kweli tangu 2006 mpaka sasa kuwa juu sio mchezo, ana nyota nzuri sana Tatizo naona kama Wema hajautumia ustar wake ukamletea utajiri bado...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
BAADA-ya muigizaji nyota Wema Sepetu kumtusi mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul Diamond Platnumz, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi Classic...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…