Hello!
Leo ndio ile siku ya kujua wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki Tanzania kwa mwaka 2024.
Tuzo hizi zimeandaliwa na wanachama wa jf ku represent jukwaa letu hili la jamii...
Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua
Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana...
Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na...
Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha.
Kwani amepatwa na nini?
Pia Soma: Mtoto wa Jose Chameleone: Baba...
...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"......
Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini.
Nyota huyo wa Mziki...
Baadhi yenu huyu Brother sio mgeni kwenu.Wale mnaofuatialia mziki huu wa kusifu na kumtukuza mungu nadhani mnamfaham zaidi.Jamaa anamudu vizuri sana kipindi chake hasa anapochombeza na zile...
Abba Marcus Mayanja, mtoto wa msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, kupitia ukurasa wake wa TikTok ameongea kwa hisia kubwa na mashabiki wa baba yake kuhusu changamoto za kiafya...
Technology imekuwa sana na mimi napenda kuchunguza vitu vinavyohusiana nayo.
Hizo nyimbo nilizopaste hapa nimezitengeneza kwa kutumia AI tupu kuanzia lyrics, beat, na vocals
Lyrics zimeandikwa na...
(1) Watukutu: Hapa ni Swed, Puzzo, Salam na KeyDj
(2) Wapayukaji: Hapa ni Doggy One, King Killer na Crazy P
(3) ZdonP: Hapa ni Nash G, Squeezer na Yusuph
(4) BoyG: One man show
(5) Dabble G...
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi...
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Habari wakuu.
Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo.
Kwa wale wenye...
Habari Wakuu,
Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo...
Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani
Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma...
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na...
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge.
Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Nandy...