Festus Makerubi wa TBC1 na Mbwembwe Zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Festus Makerubi wa TBC1 na Mbwembwe Zake

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kadoda11, Dec 11, 2011.

 1. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,382
  Likes Received: 8,505
  Trophy Points: 280
  Baadhi yenu huyu Brother sio mgeni kwenu.Wale mnaofuatialia mziki huu wa kusifu na kumtukuza mungu nadhani mnamfaham zaidi.Jamaa anamudu vizuri sana kipindi chake hasa anapochombeza na zile mbwembwe zake za kuigiza nyimbo za waimbaji, ukijumlisha na kile kisauti chake kinacho enda sambamba na kicheko chake.Nampongeza kwa hilo.Ila kuna wakati flani nahisi kama anapitiliza,mikogo inakuwa mingi sana mpaka anaboa,akianza kusifia jambo atasifia mara mbili mbili mpaka inakuwa kero.akianza kucheka ndio usiseme atacheka weeeee....... anyways huo ni mtazamo wangu tuu sijui wa kwenu wadau.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Uko sawa kabisa, ni mzuri anamudu kazi yake. lakini wazungu wanasema ana-over do. Kila kitu lazima kiwe na kiasi. Arekebishe hilo tu, otherwise he is good.
   
 3. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahaahahaaaa!!!
  Nyie bana.
  Mi huwa namuona kama amefuta bange mbichi. Kumbe wenzangu mnamuona anapatia!!??!! Duh!!
   
 4. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,382
  Likes Received: 8,505
  Trophy Points: 280
  labda ka-mywife kake kanamwambia anapatia.teh teh teh.
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Uwa simuelewi huyu jamaa ni mtangazaji au msanii wa comedy............
   
 6. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mi nashauri atofautishe style ya kutangaza katika vipindi. Sioni tofauti anaposhika kipindi cha Tumwimbie Bwana na kile cha Zamadamu. Vicheko ni vilevile, mtiririko wa sauti ni uleule, mbwembwe na sifa ni za aina ileile. Mabadiliko ya style humvutia mtazamani, akawa na hamu ya kuendelea kuangalia/kusikiliza - bila kuchoka au kuwa bored. Nadhani inawezekana, au?
   
 7. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Si ndio yule anayesemaga Zama-damuuuuuu!
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kha kweli wanadamu hatuko sawa
   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sio siri mi pia ananikosha sana makerubi
   
 10. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Leo nilipofungua tbc1 na kukutana na huyu jamaa nikazima tv hapa hapo.
   
 11. M

  Milindi JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 1,213
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 180
  Wengine wanasema anatoa coverage kubwa kwa dhehebu lake mengine anabania
   
 12. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapo nadhani ndio anapokosea.anatakiwa kutoa haki sawa kwa madhehebu yote na sio kupendelea sana RC peke yake.BTW alikuwa ni mwanakwaya wa RC kanisa la Mwenge sijui kama bado anaendelea.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha! Huyu jamaa huwa ananiboa kweli kweli, ila cha ajabu anakua kama hotuba za ccm! Simpendi kweli ila huwa namuangalia ili nicheke
   
 14. Mmasihiya

  Mmasihiya JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 368
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ana mizuka ova kawahi kwenda mbinguni kwa ticket ya go and return'
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  na lazma ticket yake ilikua business class,lol!
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ananichefua na uongeaji wake kama punga bana
   
 17. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  huyu jamaa na yeye ni ubwabwa ..si riziki tena.kwisha habari yake.
   
 18. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli anaboa,, vipindi vyote anavyovitangaza haendani navyo, cjuwi pm wa tbc tv anatambua hilo.
   
 19. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nyie mmefanya mazuri gani yanayowavutia wengine? Watu wengine ovyo kabisa.
   
 20. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  watoto wako wa Mugumu wanakusalimia baba yao!!!!mke wako Robi yeye anasema ameshakusamehe kwa kumuacha na kuchukua wa mjini!
   
Loading...