Mliokwepo Morogoro miaka ya 90's mnawakumbuka Wasanii na Makundi haya?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
(1) Watukutu: Hapa ni Swed, Puzzo, Salam na KeyDj

(2) Wapayukaji: Hapa ni Doggy One, King Killer na Crazy P

(3) ZdonP: Hapa ni Nash G, Squeezer na Yusuph

(4) BoyG: One man show

(5) Dabble G: Sikumbuki

(6) N.k. Promotes: Wakiongozwa na Mussa Maurusi

Battle ilikuwa Dar, Moro nani zaidi na Kiwanja kilikuwa Rock Garden, Moro Hotel na Mango park. Hapo hata Afande sele hajulikani kama yupo au atakuja kuwepo. Konseti zilikuwa Forest hill zikiongozwa na Puzzo lee, Dj maarufu Peter moo, John K na Dilinga

Hivi hayo makundi yameishia wapi? Na hao watu wapo wapi kwa sasa au ndio hawa wanaovuma wamebadili majina?
 
acha kuzingua wewe time io afande sele mtu pori anafanya mishe zake dar na Mr II sema alikuwa bitozi tofauti na sasa hivi ni culture.....shida apo umechanganya era ao kina nash G wako ni mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
Sallam kwa sasa ni meneja wa WCB.

Peter Moe ni DJ wa clouds fm.

Puzzo Makassy alikuwa Sweden .

Swedi kafulia.

Boy G kafa kwa gongo za kichangani.

Nash G anaangaika tu na dunia.

Squeezer kafulia.

Crazy P kwa sasa O Ten anauza chips mjini hapa.

John Dilinga anafanya biashara pia anapiga mziki kempisky kila weekend.

Wengine sikumbuki ila kiboko yao wote alikuwa Mc Ndolo marehemu aliyekufa kwa ngoma. Mnyawezi mipaka hivyo.
 
Afande wa juzi tu yule miaka ya 2000, Afande hajawai kupanda steji ya rock garden.
 
Na Mbaraka Mwishehe si wa hukohuko?

Wengi hudhani hivyo lkn Mbaraka Mwinshehe si wa Morogoro..ni wa Kisarawe Pwani..moro alikua kikazi tu..Mbaraka mwinshehe alipokufa kenya alikuja kuzikwa Tanzanian katika Kijiji chake cha asili Mzenga kilichopo huko kisarawe
 
Afande wa juzi tu yule miaka ya 2000, Afande hajawai kupanda steji ya rock garden.

Tafuta album ya II PROUD ya miaka ya 90 albam inaitwa SIKU ndo utajua sio tu AFANDE kawai kupanda stejini ila kawai pia kuingia studio kabla ya hao waluguru wenu
 
Tafuta album ya II PROUD ya miaka ya 90 albam inaitwa SIKU ndo utajua sio tu AFANDE kawai kupanda stejini ila kawai pia kuingia studio kabla ya hao waluguru wenu
Tatizo unasoma vitu kwenye magazeti sisi tunakupa habari exclusive. Wewe umjui Afande, umjui Kandeo umjui Mabukila. Ujui history ya muziki wa moro.
 
Wengi hudhani hivyo lkn Mbaraka Mwinshehe si wa Morogoro..ni wa Kisarawe Pwani..moro alikua kikazi tu..Mbaraka mwinshehe alipokufa kenya alikuja kuzikwa Tanzanian katika Kijiji chake cha asili Mzenga kilichopo huko kisarawe
elekezaneni taratibu, ila wikipedia imeandika hivi :
Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alizaliwa mjini Morogoro 27 Juni, 1944. Mbaraka Mwinshehe alikuwa mtoto wa pili kuzaliwa katika watoto 12 .

Baba yake Mzee Mwinshehe Mwaruka alikuwa Mlugulu msomi na karani katika mashamba ya katani, na mama yake alikuwa Mngoni. Kati ya hao kumi na mbili, ni yeye na wadogo zake Zanda na Matata ndio walikuwa wanamuziki, Zanda alikuwa mwimbaji, akiimba pia nyimbo za kizungu katika bendi ya Morogoro na Matata alikuwa mpiga drum pia bendi hiyohiyo.

Kutokana maelezo ya familia, babu yake Mbaraka alikuwa wa kabila la Wadoe wa Bagamoyo na alipelekwa Mzenga (Kisarawe) akawe chifu wa huko na wakoloni. Huko akaoa wake tisa na kupata watoto zaidi ya hamsini akiwemo baba yake Mbaraka, Mzee Mwaruka. Mbaraka alisoma mpaka kidato cha tatu na kuacha shule ili awe mwanamuziki.
 
Hyu Afande ni msani au mhuni muuza bange tu mm nakaa hapa jirani kwake anytime unaona wahuni wanavuta bangi nakunywa balimi hapa nje kwake
nyumba yenyewe hata kufagia hawezi kama kijiwe flani cha wahuni msani hawezi kuwa huyu
 
ha haaa...kwani anakaa pande zp hapo moro?
 
Hyu Afande ni msani au mhuni muuza bange tu mm nakaa hapa jirani kwake anytime unaona wahuni wanavuta bangi nakunywa balimi hapa nje kwake
nyumba yenyewe hata kufagia hawezi kama kijiwe flani cha wahuni msani hawezi kuwa huyu
Ni mfalme wa rhyms ambaye sogydoggy hamtaki, anamuita kobe hawezi mzidi mbio farasi
 
Sallam kwa sasa ni meneja wa WCB.

Peter Moe ni DJ wa clouds fm.

Puzzo Makassy alikuwa Sweden .

Swedi kafulia.

Boy G kafa kwa gongo za kichangani.

Nash G anaangaika tu na dunia.

Squeezer kafulia.

Crazy P kwa sasa O Ten anauza chips mjini hapa.

John Dilinga anafanya biashara pia anapiga mziki kempisky kila weekend.

Wengine sikumbuki ila kiboko yao wote alikuwa Mc Ndolo marehemu aliyekufa kwa ngoma. Mnyawezi mipaka hivyo.
Nash G alikuaga anatangaza redio abood na abood tv. Saiv nadhani yupo clouds tv kama sijachanganya madesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom