Kwa wale wapenda mziki mzuri Sauti sol wameachia video ya wimbo wao unaoitwa kuliko Jana,ngoma iko poa sana na video yake iko poa unaweza kuitazama hapo chini nimeiweka!
Kila siku lazima tusikie wasanii wakitajwa kwa kubadili wenza, kutumia madawa ya kulevya, uvutaji wa bangi, na mauza uza mengine mengi tu kama vile kutuhumiana kutumia ushirikina ili kung'arisha...
Baada ya kuruka ruka kwa miaka mingi bila mafanikio,hatimaye mkali wa mapenzi nchini amempata mtu wa kuzeekea naye,mama huyo ameamua kutua kwa nguli la michezo nchini kutoka redio ya mawingu,awali...
WANAMUZIKI WA HIPHOP (10) MATAJIRI ZAIDI DUNIANI.
1.DIDDY
Mbali na mziki Diddy ametengeneza fedha nyingi kwa miradi mbalimbali nje ya mziki kama mkataba wa kutengeneza vinywaji vya Diageo's...
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anajitambulisha kama Rais wa Rader Enteternment rapper KR Muller alimuambia msanii mwenzake mkongwe Juma Nature amuache kwanza afanye mambo yake Kisa...
Unakumbuka fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise
Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha odm...
Leo nimehudhuria Fiesta ya Muleba nimeshangaa sana, yule mzee wa amsha popo a.k.a mfalme wa singeli anaperform raia wamekula bati hadi nikamuhurumia. Nikajua labda ikifika zamu ya hit yake...
Nimejaribu kuwaangalia hawa mastaa kwa dhana ya kioo cha jamii,naona wanatofauti kubwa sana..Wakati wengine wakiwa bize na picha za utupu,starehe na mitoko ya shopping..Wengine wako bize na...
wako wapi hawa?
buibui
tox star
sagna
c sir madini
cheleman
z anto
aby skills
dr. kumpeneka
J.I
kigwema
d knob
hussein machozi
sam wa ukweli
hafsa kazinja
hawa
joslin
spark
pingu
p n c
berry...
KUNA MSTARI NIMEUPENDA SANA HAPA. Pretending to be hard, oh my God, check your temperature
Some people are actors, don't believe on what you see just go deep!
Ndo mkali wangu of all time, Mfalme...
[emoji121]
SASA ONENI HADI KAKA'ANGU #CRAZY_G.K
NA KIGUGUMIZI CHAKE KILICHOMPA BONGE LA PUSH NA IDENTITY KWENYE HIPHOP
LEO ANAKUJA KUIMBA SIJUI MIONDOKO YA *ZUKU*,
SIJUI *ZUMBUKUKU*,
SIJUI NINI...
Leo hii chama cha CORD kinachoongozwa na kinara Raila Odinga kinaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa.
Sherehe hii inayokwenda kwa jina la #ODM10at10Mombasa inatazamiwa kuisha kwa mbembwe za...
Msanii wa maigizo na mziki Snura Mushi amedai kuwa katika maisha yake kamwe hawezi kutoka na mwanaume aliye mzidi umri hata siku moja kama wasanii wenzake wa kike wanavyofanya
Snura ameelezea...
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna...
Kuna msemo unasambaa sana mitandaoni unasema eti Tanzania imebarikiwa sana coz kwenye hivi vitengo vya kimataifa zaidi.
Mpira: Mbwana Samatta
Mziki: Diamond Platnumz
Majungu: Ali Kiba
Je, kuna...